Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,033
- 10,622
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pengine Kamanda ameshindwa kujibu swali kwa kuwa yeye sio msemaji wa Jeshi la Polisi au hawezi kusema kwa kuwa suala hilo liko juu ya mamlaka yake kiusemaji.Mambosasa na genge lake wamemteka Tito, ndio maana wenzake wameanza kumruka.
Tatizo liko wapi? Mambosasa kazu gumza kwa niaba ya jeshi la polisi. Huyo RPC wa Kinondoni kanusho lake ni upumbavu mtupu, maana wa kwanza kutoa tamko ni boss wake hivyo ndio aliye sahihi kuwa kakamatwa kinondoni na hata kama kapelekwa Kigamboni bado ofisi ya RPC Kinondoni lazima inataarifa kama hajui ni uzembe wake tuuSwali la kujiuliza kabla ya kuanza kumlaumu nani au yupi kafanya nini ni hili "Kwanini waandishi wa habari wamemuuliza swali mtu mwingine ambaye hakuhusika na taarifa za kukamatwa kwa mhusika?
Nashauri kabla ya kuanza kulaumu yeyote,ni vema LHRC/mwajili wa mhusika kwa pamoja na ndugu wa familia wakafuatulia taarifa rasmi kwa mhusika aliyetoa taarifa za awali kuwa wanamshikilia mhusika anayedaiwa kupotea.
Unajua utofauti wa Kimadaraka kati ya RPC Mambosasa na RPC wa Kinondoni? Unaijua mipaka yao ya ufanyaji kazi?Tatizo liko wapi? Mambosasa kazu gumza kwa niaba ya jeshi la polisi. Huyo RPC wa Kinondoni kanusho lake ni upumbavu mtupu, maana wa kwanza kutoa tamko ni boss wake hivyo ndio aliye sahihi kuwa kakamatwa kinondoni na hata kama kapelekwa Kigamboni bado ofisi ya RPC Kinondoni lazima inataarifa kama hajui ni uzembe wake tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
... duu! inatia huzuni sana wakumbuke famili yake na watanzania wema wanahangaika kila siku kujua uzima wa ndg yetu...walaaniwe wote wanaotesa mwanadamu mwenzaoLabda kesha fariki wakati wa mahojiano hivyo wanaona njia sahihi ni kusema hawafahamu aliko wakiandaa namna bora kuikabili familia, ofisi yake na umma kwa ujumla.
Dunia ni jela, kuna wababe wanaotumia wengine na kuna wanyonge wanaotumiwa.... duu! inatia huzuni sana wakumbuke famili yake na watanzania wema wanahangaika kila siku kujua uzima wa ndg yetu...walaaniwe wote wanaotesa mwanadamu mwenzao
Mambosasa siyo RPC!Unajua utofauti wa Kimadaraka kati ya RPC Mambosasa na RPC wa Kinondoni? Unaijua mipaka yao ya ufanyaji kazi?
Ni heri akasome magazeti kuliko kushiriki mauajiKwa mbaaaliiiii Namuona Kamanda Musa Taibu, akihamishiwa Makao Makuu akae benchi nakusoma magazeti tu!
Wewe ndio hi reason, kana hajui unadhani Askari wake wa kinondoni wasipofahamu wakiingilia operation kwa kuwarushia risasi Askari wenzao itakuwaje,!Sina hakika kama huwa tunafanya reasoning kabla ya kufikia conclusion. Aliyekiri kwamba huyo Tito kakamatwa na polisi ni Kamanda wa kanda maalum ya Dar es salaam. Sasa mtu unaenda kumuuliza RPC wa Kinondoni halafu anakumbia hana taarifa hizo kisha mbio mbio unakuja kubandika bandiko hapa kuwa polisi imekanusha. Hivi RPC wa Kinondoni anajua yanayofanyika na vikosi vya kanda maalum? Hivi RPC wa kinondoni anajua yanayofanyika Central Police? Hivi RPC wa Kinondoni anajua yanayofanyika Temeke? Hivi RPC wa Kinondoni anajua yanayofanyika Ilala? Kwa nini hatupendi kwenda extra mile kuwa kwa sababu wa Kinondoni hajui basi tumuulize wa Temeke, wa Ilala na tukishindwa basi turudi kwa Mambosasa ambaye ndiye mwenye utawala katika mikoa yote mitatu ya kipolisi. Mtu kukamatwa Mwenge siyo lazima awe amepelekwa kwenye vituo vya polisi Kinondoni tena hasa kama waliohusika na kumkamata ni polisi wanaofanya kazi katika mikoa yote mitatu, yaani kanda maalumu.
Nashangaa watu wanahangaika, na wakati Mamboleo kasema wanae polisi, na wala hajatekwa, tena anashikiliwa kwa kosa la jinai na wenzake watatu. Badala yake watu wanajiendea kinondoni kuuliza kwa watu wengine wakati Mamboleo keshaeleza kila kitu kuwa msihangaike.Inashangaza kuona matukio yote haya yanaendelea kutokea, lakini viongozi wa ngazi za juu wapo kimya kama vile hawapo nchini au hawaoni chochote!
Yaani mambo yaliyokuwa yakitokea Rwanda na Burundi, ndiyo yamekuwa kama ya kawaida tu nchini mwetu kwa sasa!
Hakuna anayekemea haya mambo ya kishamba ya kutekana, hatuoni tume huru ya uchunguzi ikianzishwa ili kuwatambua hawa watu wasiojulikana! Kweli awamu hii tumepatikana.
HAKI YA NANI HII KITU INATIA HASIRA HADI BASI,KUMBE NDO MAANA WATU WANAJITOA MUHANGA KATIKA NCHI ZAO,HUU UPUMBAVU WA POLISI UMEVUKA KIWANGO AISEEKamanda wa Polisi mkoa wa Kipolisi Kinondoni asema hana taarifa za kukamatwa na kushikiliwa kwa mwanaharakati,Tito Magoti
Mussa Taibu amesema kuwa mpaka sasa hana taarifa ya kukamatwa kwa Ofisa wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu [LHRC] Tito Magoti, katika eneo la himaya yake na hata amejaribu kuwauliza wenzake lakini nao hawana taarifa hizo.
Awali Kamanda Lazaro Mambosasa aliuthibitisha Umma kwamba Magoti alikamatwa Mwenge wilayani Kinondoni
Taarifa za awali kuhusu kutekwa kwa Tito Magoti ni kuwa alikuwa katika bodaboda akielekea Mwenge kununua simu, alipofika katika kituo cha mafuta cha Puma watu 5 waliokuwa na gari aina ya Harrier walimchukua kwa mabavu kisha kuondoka kwa uelekeo wa Posta, Dar es Salaam.
Jana Kamanda wa Polisi wa Kanda ya Dar, Lazaro Mambosasa amekaririwa akisema Polisi inamshikiliwa Magoti na wenzake watatu kwa uchunguzi wa tuhuma za makosa ya jinai inayowakabilia.
Hata hivyo, Mambosasa hajawahi kubainisha ni kituo gani ambacho Magoti anashikiliwa.
Zaidi, soma:
View attachment 1301209Mwanasheria Tito Magoti wa LHRC achukuliwa na watu wasiojulikana; Polisi wasema wanamhoji na wenzake 3
Tito ambaye ni Mfanyakazi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) inadaiwa ametekwa maeneo ya Mwenge, Jijini Dar Yaelezwa amechukuliwa na watu 5 waliovalia kiraia ambao walimfunga pingu kabla ya kuondoka naye Watu hao walikuwa kwenye gari aina ya Harrier. Taarifa za awali kuhusu...www.jamiiforums.com
View attachment 1301208