msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,280
- 7,903
Nasikia kuna mwingine tena ametekwa leo msasani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi kabisa wanazunguka nini wapige kambi kwa mambokale mpaka kieleweke,awaonyeshe alikoWaandishi wa habari mnashindwa wapi?
Aliyesema Magoti yuko mikono salama kwani anaishi mbinguni? Kwanini muende Kinondoni badala ya kumganda Mambosasa aseme Magoti yuko wapi au kituo kipi? Kwanini mnazunguka zunguka?
Operation ya ikfanyika eneo Fulani mkuu wa eneo husika lazima ajue!!!!!
Unaweza ukaiweka hapa hiyo tweet halafu tuone ya zama zipi?Acha uoga WAJINGA SISI.Kwa tulipofikia wanaojipenda wote wamefunga midomo Yao. Jamani someni nyakati ile style aliyotumia kwenye post zake Kule Twitter kuhusu mikopo sio ya zama hizi. Kwani angetumia lugha isiyo ya kuudhi angepungua eeh??
Then confuse againConfuse them
Confuse again
Confuse them once more
Mkuu hilo haliwezekani, communication channels za kipolisi na kijeshi hufuata mkondo fulani labda kama mhusika wameamua kumuweka kando na ingekuwa hivyo asingekuwa officer in charge.Sijaona utata wowote ... naona mwandishi ama mtu aliyeanzisha huu uzi ndio ana lengo lake aidha kupotosha ama hajaelewa ... maana kamanda wa kinondoni kasema kabisa yeye hana taarifa na ya kuwa kamanda mambosasa hawajibiki kumpa taarifa yeye .. na ya kuwa kuna operation nyingine ni za siri ... sasa mpaka hapo mlitaka aseme nini?
Mpaka tutekwe wote ndio tutajua umuhimu wa kuungana kama Taifa kupinga huu udhalimu.
Naanza kupata mashaka kama Tito bado tunae na kama tunae,basi sijui atakuwa katika hali gani.
Ukiona hivi, ujue kuna uwezekana wa mambo mawawili:wamemtanguliza au wamemuumiza na kumjeruhi vibaya kiasi kwamba hawako tayari kuhusishwa/kutuhumiwa na hivyo tunaweza kumuokota akiwa kama Dr.Ulimboka.
Jeshi la polisi lilimkamata Tito Magoti kwa madai eti anatumia fake I'd kuitukana serikali huku wakimhusisha na Kigogo wa Twitter pamoja na I'd ya member maarufu mkosoaji wa Jf...Cha ajabu watu waliohusishwa naye bado wapo wanapost tu...Leo wanasema hawajui alipo ili baadaye wakamtelekeze sehemu kama walivyofanya kwa Mo baada ya kumsainisha nyaraka muhimu kwa nguvu.
Na hili ndio huenda limetokea sasa wanakwepa kuhusika.Huenda amefariki au kuumizwa sana ndio maana polisi sasa wanakanusha kumshikilia.
Hupo mkuuINTEROGATION=INTERROGATON
TOUTURE=TORTURE