Kwa Mange wanafanya remix tu, juzi kati Mamlaka za Bongo ziliwasiliana Instagram ili account za Mange zifungiwe lakini alipangua kwa mujibu wa sheria za USAIvi unadhani unachofikiria mwenzio hajawah kufikiria miaka ya nyuma
Kabla hujaandika tafakari kaka usizidiwe IQ na mtoto wa kike
Kuna ushindi gani akiwa ananyea debe, mi namshauri aweke akiba ya maneno duuuh, sio kwa matusi hayo,Kuna vitu ukivisoma vya huyu mama mpaka unaogopa hata kuendelea kusoma.
Pamoja na yote na kitu chochote kikitokea mange wewe ni mshindi.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mimi nime turn on notification kabisa....... Nisipitwe na jambo
Raia wa usa halafu anatumia passport ya Tanzania? Uliona wapi?Kwanza kwa watoto wale aliozaa na rais wa US c ajabu na yeye ni raia wao so wakimgusa lazima moto utawaka. Si mnajua vile nchi za wenzetu zinavyojali sana raia wake
Hahaa bora umekuja mwayego asijekutafutia matatizoHahahaaaaa! We mtoto wewe unafananisha kifo na usingiziii. Achana na Mange, ni kubwa la maadui. Mimi im just small time
Hahahahaha sijui IQ ya Mange umeipima lini na kujua ni kubwa ?Ivi unadhani unachofikiria mwenzio hajawah kufikiria miaka ya nyuma
Kabla hujaandika tafakari kaka usizidiwe IQ na mtoto wa kike
Mimi Instagram pamoja na ku-turn on lazima nipitie upya post zake ili kuona updates za wadau.mimi nime turn on notification kabisa....... Nisipitwe na jambo
Siri za ikulu ya Marekanizenyewe zinavuja, itakuwa za ofisi na maafisa wa serikali. Dawa ni kujirekebisha. Kama huna cheti anza.SIDHANI KAMA KUNA HAJA YA KUHANGAIKA NA MANGE, pa kuparekebisha ni jikoni, jiko linavuja unakimbilia njie utanyeshewa tu. pia waosha vyombo jikoni wana thamani sana..wana ndugu zao wangependa nao wale chakula cha jikoni.
mh! sijui nakosea- ngoja nikimbie......
sio 900 sasa hivi wanakaribia million 1Nilimfollow anao 300 ndani ya miezi 2 wamefika 900
nawe si ni miongoni mwa maloser wa lumumba?? Tulia bwana imepenya iyo..Ni loser........hana lolote....habari zenyewe huwa anatumiwa na maloser wenzake.....haeleweki anasimamia upande upi.... wakati wa uchaguzi alimtetea sana rais.... alimpa kila sifa...nadhani alijua JPM akiingia akiwa rais atapata chochote.......alimtukana lowasa na upinzani matusi yeyote....alimdhalilidha kwa style zote.....leo mange huyo huyo kageuka.....kama unavyosema akiwa na chuki na mtu.....mhh....huyo wema anayejifanya mdogo wake anafanya laana zote lakini hajawahi msema vibaya hata cku moja.....wanaomuunga mkono huwa ni maloser wenzake wasiojitambua kama yeye
Kumbe tupo wengi[emoji3] [emoji3] [emoji3]mimi nime turn on notification kabisa....... Nisipitwe na jambo
Mbaba umetisha,kumbe mpaka tangazo la kutafutwa Mange tayari!
Nafikiri atakuwa ameipata kule kwenye web page ya Mange.Mbaba umetisha,kumbe mpaka tangazo la kutafutwa Mange tayari!
Nahisi umeloose marindaNi loser........hana lolote....habari zenyewe huwa anatumiwa na maloser wenzake.....haeleweki anasimamia upande upi.... wakati wa uchaguzi alimtetea sana rais.... alimpa kila sifa...nadhani alijua JPM akiingia akiwa rais atapata chochote.......alimtukana lowasa na upinzani matusi yeyote....alimdhalilidha kwa style zote.....leo mange huyo huyo kageuka.....kama unavyosema akiwa na chuki na mtu.....mhh....huyo wema anayejifanya mdogo wake anafanya laana zote lakini hajawahi msema vibaya hata cku moja.....wanaomuunga mkono huwa ni maloser wenzake wasiojitambua kama yeye
kwa mange mwenyeweNgariba hii siri umeipataje?.
Unawajua wanaompasia hizo nyeti za ndani ya Serikali yako? Hao hao watamtengenezea passport nyingine na kuituma kwake kirahisi sana.Hahahahaha sijui IQ ya Mange umeipima lini na kujua ni kubwa ?
Pia kuna uwezekano IQ yako ndio ikafanana na yawatoto wa kike coz mahaba yamekuzidi mpaka unashindwa kutumia maarifa japo kidogo kama Mange hana uraia wa US ni lazima atakuja tu au ataenda ubalozini kubadilisha Pass kwani ni Miaka 10 tu na kama si Raia Tanzania wanaweza ifuta pass kwani Pass ni mali ya serikali wanaweza kuichukua muda wowote
Mimi Instagram pamoja na ku-turn on lazima nipitie upya post zake ili kuona updates za wadau.
NB. Halafu we Heaven on Earth ukuje Mama John nikupeleke Mwambene...
msaidie kujaza bana......Jazia wewe