Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,955
- 7,109
Kwa Mange wanafanya remix tu, juzi kati Mamlaka za Bongo ziliwasiliana Instagram ili account za Mange zifungiwe lakini alipangua kwa mujibu wa sheria za USAIvi unadhani unachofikiria mwenzio hajawah kufikiria miaka ya nyuma
Kabla hujaandika tafakari kaka usizidiwe IQ na mtoto wa kike