NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Hawataweza abadan,watanzania tunapenda amani ni urithi tuliochiwa na wazee wetu.Taasisi inayofadhili HARAKATI ZA SIRI ZA CHADEMA sasa "inajulikana"......
Lengo ni kuitia nchi katika HAMANIKO NA VURUGU...
Mpumbavu katika ubora wako. Anayetafuta sababu ni sisi au ni wao. Kama walikuwa wanamshuku ni kwa nini wasingemsachi kablaMnajihami ee ili akikutwa navyo mdai kabambikizwa. Mbowe ni mafia na anataka rudisha mateja mitaani, adhibitiwe hamna cha kuonewa, mnajaribu kujihami ila mnajua afanyacho kamanda wenu.
Maneno hayo ya KIPOPOMA Kutwa yanahubiriwa na wafanya VURUGU NA MIGOMO VYUO VIKUU....kamwe hayajawahi KUWARUDISHA CHUO WACHACHE wanaovuka mipaka .....Nakwambia Mungu ataku suprise hutaamini masikio na macho yako. Haki itasimama siku zote.
Kulinda katiba ni pamoja na kuirekebisha panapo bidi kurekebishwa
Aaaamin🙏Hawataweza abadan,watanzania tunapenda amani ni urithi tuliochiwa na wazee wetu.
Endeleeni kusifu na kuabudu, mapambio kwenu ni kawaida, hamkai mka reasoning kwanini mnapandishiwa kodi kila siku? Kwanini mnatukanwa na wanasiasa kila siku? Kwanini serikali haitekelezi majukumu yake ? Kwanini watu wanaiba mabilioni na hawafanywi chochote?Maneno hayo ya KIPOPOMA Kutwa yanahubiriwa na wafanya VURUGU NA MIGOMO VYUO VIKUU....kamwe hayajawahi KUWARUDISHA CHUO WACHACHE wanaovuka mipaka .....
Historia imejaa TELE ..labda kama hujisumbui KUISOMA.....
Punda AFE MZIGO UFIKE....
Mh.SSH ataufikisha tu mzigo wa kuisimamia KATIBA kwa kuulinda UTULIVU ,AMANI NA USALAMA WA MAMA TANZANIA!!!
#KaziIendelee
Kweli yezebelYezebeli hafai kabisa
Sawah mtazamo wako huo, unahaki kikatiba kutoa maoni yako bila kuingiliwa na mtu yoyote.Mbowe na Mdude na CHADOMO ni waganga njaa tu.
Niliwaheshimu sana mwanzo. Sasa nimetambua sababu ya hata akina Mdee kuwakimbia.
Ni waganga njaa tu.
Hii ndio Taarifa ya sasa tuliyopenyezewa na watu wazalendo kutoka ndani ya jeshi Polisi Tanzania .
Lakini tunaendelea kusisitiza kwamba Hakuna mahali popote katika dunia hii ambapo Shetani aliwahi kumshinda Mungu
View attachment 1862707
View attachment 1862761
Kwa hiyo ukimjua wewe Basi wengine HATUMJUI ? 😲Hujui unacho kiongea ndugu, kuhusu katiba ya nchi na familia ya Mbowe vina uhusiano gani?
Halafu huwezi kunifundisha kuhusu mbowe kwasababu mbowe wewe ndio humjui sio mimi .
Mali zake na chama havihusiani kabisa Katiba ni yawanachi wote sio yake.
Jinga?kwani lini aliacha hiyo tabia?
Hao jamaa "CHENGA" tupu....Mbowe na Mdude na CHADOMO ni waganga njaa tu.
Niliwaheshimu sana mwanzo. Sasa nimetambua sababu ya hata akina Mdee kuwakimbia.
Ni waganga njaa tu.
Tutalipa tu kisasi kwa wakati sahihi! Trust me Brothers! Sisi watalia pia this timeView attachment 1862780
HII MIPANGO IPO MDA SANA NA WANAMTAFUTA KILA ANGLE KWA SASA ILI WAMTIE NGUVUNI WADHOOFISHE WAFUASI WAKE. BE WARNED CC MNACHOFANYA HAKINA MASHIKO
Kwako ni ujinga lakini unatakiwa utafakari sana , ndio utajua namaanisha nini . Ukija kichwa kichwa huwezi pata kitu hapaMungu yupi huyo mkuu unamzungumizia. Mbowe Ana itakatifu gani. Embu Acha ujinga wewe. Mambo ya Mungu na haya masiasa wapi na wapi. Una uhakika anayoyajua Mungu kuhusu CHadema Ni haya unayojajua wewe. Huku ulaya wote wangekufaaaa. Yani unaandika ujinga mpaka nawaza mmelishwa damu au.
Kama kuunga mkono chadema hii hii nayoifahamu ni uelevu basi bora niwe mjinga isee!CCM inaungwa mkono na watu wajinga (TWAWEZA).
Kama kuunga mkono chadema hii hii nayoifahamu ni uelevu basi bora niwe mjinga isee!CCM inaungwa mkono na watu wajinga (TWAWEZA).
Kama kuunga mkono chadema hii hii nayoifahamu ni uelevu basi bora niwe mjinga isee!CCM inaungwa mkono na watu wajinga (TWAWEZA).
Nitaendelea kuisifu na kuipamba CCM kwa kuwa hakuna MBADALA WA AMANI ,UTULIVU NA USALAMA...HAKUNA....Endeleeni kusifu na kuabudu, mapambio kwenu ni kawaida, hamkai mka reasoning kwanini mnapandishiwa kodi kila siku? Kwanini mnatukanwa na wanasiasa kila siku? Kwanini serikali haitekelezi majukumu yake ? Kwanini watu wanaiba mabilioni na hawafanywi chochote?
Mnabaki kusifu na kuabudu sanamu, ipo siku mtajua hamjui tupo .
Mbowe akibambikiwa kesi wewe kama wewe utafanya nini kumsaidia ?Wanambambikia kesi ili iweje