Mimi nipo hapa nasikilizia milio baada ya masaa 24.. kuna kombania imepewa maelekezo yakipita masaa 24 hakuna kurudi nyuma ni kutekeleza kile walichokipanga.. muda sio rafiki kabisaKwa hiyo, tukisema kwamba serikali ndiyo iliyosababisha polisi kuwaua zaidi ya wananchi 10,000 ili wapande vyeo ni sahihi kabisa. Na mama Samuya anapotakiwa kwenda ICC kupambana na kesi yake ni sahihi kabisa.
Nchi ngumu sana hii mkuu NALIA NGWENANgumu kumeza hii
Kweli hii?!
Murilo umri umekwenda Mafwele ndiyo atachukua mamlaka yake.Nafikiri Mafwele sasa atakua amaepaandishwa cheo na sasa ndie mtume Mohammed au Yesu Kristu wa polisi..maana yeye peke yake ameua makumi elfu