Tetesi: Polisi wamempiga daktari mwenzetu mpaka kalazwa ICU

Kwani ninkukazana upepo?
Mbona iko wazi wataenda kutibiwa
Kutibiwa wataenda hata kesho tu au usiku huu wapo baadhi wanatibiwa, ila Hasira siku zote mwisho wakw mbaya sana ni kama sasa mnaunga mkono kwa kuweka namna ya kudeal na hao polisi vituoni wakat jamaa alipo huko sasa yupo mwenyewe anajuata kwann alifanya vile vinamgharimu!!
 
💯

Hakuna mtu mzima asiye na akili, hata ukidhani hana akili jua anazo, wamemprovoke kwa kiasi ambacho alifika mwisho.
Exactly, ukikasirika sana, mwili unaachia homoni ya adrenaline na cortisol, mwili unakuwa na nguvu isiyo ya kawaida, ni kama mwili unakufa ganzi, mapigo ya moyo huongezeka, blood pressure inapanda, katika hatua hii mtu anajihisi ana nguvu na uwezo wa kuchukua hatua yeyote....

Ndio maana kuna watu wazima unakuta ana kasirika hadi BP inapanda na anaweza kupoteza hata maisha...

Binadamu ni mnyama, hilo wafahamu.. akibadilika hatoangalia umevaa buti wala sare za polisi...
 
Ndio Maana kamanda mkilo kawahi kutangaza!
 
Hata mkiwaua wote mimi sioni tatizo.
 
Hakika Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…