Polisi wamenitrack niliokota simu, kesho natakiwa kituoni

Polisi wamenitrack niliokota simu, kesho natakiwa kituoni

Kwahiyo uliokota simu ukabaki nayo tu. Kwa miaka hii ullipaswa kuisallimisha polisi labda au ungeachana nayo au ungeitupa mbali zaidi isimshawishi mwingine kuiokota
 
Kwa mfano hao samaki wangekuwa wametiliwa sumu anapelekewa mtu.

Hapo Mungu kamlinda boda kawadondosha ,

Wewe umeokota ukala.
Jamani watz business wajinga kuna watu kila siku ya mungu wanaelezea usitumie simu ambayo sio yako jamani hamsikii jamani sikieni acheni hzo hamsikii
 
Nenda usiogope, kujieleza kwako ndio silaha yako. Kama kweli umeokota usiogope
 
Ukweli ndiyo ustaarabu.

Mama gani mwenye heshima atamletea simu mwanae amwambie "chukuwa hii zawadi yako mwanangu, nimeiokota njiani!

Hivi huwa mnafikiri sawa nyie kondoo?
Dah mama umechambua japo wanakupinga ..how ethical mother unaokota okota madude unaleta nyumbani lazima kuna nyufa kwenye malezi na nidhamu ya familia hyo na mara nyingi ni akina junior hao
 
Kama hiyo simu ilikuwa ya Mohamed Ali Kibao, ndiyo utajieleza vizuri na mamako atajieleza vizuri mliko ipata.
Kama ni ya kibao muhusika no 1 anajulikana ni rais wa Jamhuri ya muungano wa tz
 
Likikukuta Jambo zito usilie tafadhali.Si uliyataka mwenyewe?
 
Kuokota simu si jambo la ajabu. Nashangaa watu wanashangaa. Wangapi wanadondosha simu kila siku? Halafu nmesikitika sana kuna mmama mtu mzima ambaye huwa anajinasibisha kuwa mtu wa hekima na dini ameandika ujinga kuhusu mama wa mhanga huyu wa simu. Inasikitisha mwanamke kumtusi mama wa mtu ambaye ni mwanamke mwenzake tena tusi kubwa eti amedanga amehongwa. Wewe Bibi jifunze kuheshimu watu. Haikupunguzii kitu.
Kuna demu ni rafiki yangu alidondosha simu iPhone kwenye bajaj za ukonga banana kutoka mjini nadhani. Ameshuka ktk bajaj anatembea mwendo wa dakika kama tatu akagundua hana simu anarudi kituoni huku akiangalia labda kaidondosha on the way lakini hola. Ikabidi akubali matokeo. Kufika home akachukua simu nyingine kupiga Ile namba. Simu imeita kama mara tatu haikupokelewa. Baada ya nusu saa akapiga tena, Mzee mmoja akapokea akaniambia wakati anashuka na alikuwa wa mwisho ktk bajaj akasikia mlio wa sms kuingia ktk simu ndo akaona simu akachukua. So kwakuwa anaishi mbali Kivule ndani ndani uko na keshafika home kesho wawasiliane. Yule Mzee akasema na naona haina charge itazima akachukua namba ya yule dada. Kweli kesho yake anapata simu yake. Haya mambo yapo.
Shida ni huyu jamaa mhanga wa simu kuanza kutumia yeye Bora angeenda kuuza kwa mafundi simu wao ili kupata spea za simu zingine mbovu. Ndo watu wanafanya siku hizi hata wezi wa simu hauzi kwa mtu jau siku hizi unaweza kulewa kesi za mauaji kizembe.
 
Na abadili line kabisa ikiwezekana manake lazima tu kesi imdondokee yeye
hio haisaidii simu wanatrack kupitia IMEI namba hivyo laini yoyote utakayoweka inaleta taarifa zako na huyu mleta mada aliweka laini yake tayari system imemtambua hasa kama laini aliyoweka alisajili kwa NIDA yake ndio kabisa hana ujanja
 
zima simu itupilie chini ya uvungu ata miaka alaf tupa line
Haisaidii labda kama anaishi maisha ya kizamani sana, polisi tayari wana nida namba yake wanaweza kujua sura yake hadi anapoishi na majirani zake
 
Kubadili namba hakuna msaada siku hizi!
Huwa wanaanza ku track imei ya simu iliyopotea wakiipata wanatrack line na namba ya simu iliyomo kwenye hiyo simu husika, then wanatrack namba ya nida iliyotumika kusajili line hiyo, then wanapata picha ya mwenye nida namba hiyo.
Hapoa sasa kunakuwa na vitu citatu vyote vinatumika kama ushahidi, kwene kesi hiyo imei, nida namba na picha ya mtuhumiwa. Akisema asajili namba nyingine, polisi watajua nida namba hiyo imesajili laini namba ya nhali na mtandao upi. Labda asajiliwe na mtu mwingine
 
Kuokota simu si jambo la ajabu. Nashangaa watu wanashangaa. Wangapi wanadondosha simu kila siku? Halafu nmesikitika sana kuna mmama mtu mzima ambaye huwa anajinasibisha kuwa mtu wa hekima na dini ameandika ujinga kuhusu mama wa mhanga huyu wa simu. Inasikitisha mwanamke kumtusi mama wa mtu ambaye ni mwanamke mwenzake tena tusi kubwa eti amedanga amehongwa. Wewe Bibi jifunze kuheshimu watu. Haikupunguzii kitu.
Kuna demu ni rafiki yangu alidondosha simu iPhone kwenye bajaj za ukonga banana kutoka mjini nadhani. Ameshuka ktk bajaj anatembea mwendo wa dakika kama tatu akagundua hana simu anarudi kituoni huku akiangalia labda kaidondosha on the way lakini hola. Ikabidi akubali matokeo. Kufika home akachukua simu nyingine kupiga Ile namba. Simu imeita kama mara tatu haikupokelewa. Baada ya nusu saa akapiga tena, Mzee mmoja akapokea akaniambia wakati anashuka na alikuwa wa mwisho ktk bajaj akasikia mlio wa sms kuingia ktk simu ndo akaona simu akachukua. So kwakuwa anaishi mbali Kivule ndani ndani uko na keshafika home kesho wawasiliane. Yule Mzee akasema na naona haina charge itazima akachukua namba ya yule dada. Kweli kesho yake anapata simu yake. Haya mambo yapo.
Shida ni huyu jamaa mhanga wa simu kuanza kutumia yeye Bora angeenda kuuza kwa mafundi simu wao ili kupata spea za simu zingine mbovu. Ndo watu wanafanya siku hizi hata wezi wa simu hauzi kwa mtu jau siku hizi unaweza kulewa kesi za mauaji kizembe.
Na wwe kama kweli unania nzuri kwa nini utowe kadi ya mwenye simu kisha ukaweka kadi yako kwa ajili ya matumizi yako binafsi, hiyo ni automatically ni wizi!!
 
Mim mwenyewe nasubiria mkeka utiki Kuna madogo mwezi wa 5 nilipishana nao nikiwa na pikipiki kufika mbele aangalia simu siioni kugeuza kuja wauliza wakana Mimi nikaona isiwe kesi nikasepa kufungua kesi itafutwe na waliizima hawajaiwasha mpk Leo ila najua ipo day mtu atajichanganya
 
Msaada wa kisheria simu ya kuokota nakamatwa na polisi. Mama yangu aliokota simu smat phone akanipa sababu yeye Hawezi tumia nikaweka laini hapa nimepagawa,

Hii imekaaje mbaya zaidi aliepoteza simu anadai kwao ilibiwa simu, TV nch 32, jiko la ges plate mbili.

Je, machomokaje katika hili tatizo?
Mkiona kimya mjue nawasiliana na polisi maana wanasumbua balaa
Kalipe vitu vya watu...yaani Dunia hii unaokota simu Tena smart unaanza tu kutumia .... Kudadeki .......kalipe Mzee.
 
Huyo mamako alikudanganya. Alienda kudanga akahongwa hiyo simu na mwizi au jambazi, muulize vizuri.

Babako unamjuwa? Mnaishi nae?
Dah umemkosea sana huyo jamaa.

Leo nimeconfirm kichwani ni mtupu hadi sio poa.
 
Back
Top Bottom