Jichunguze,Kila kona Dkt Samia! Tanzania inazizima kwa sababu ya uwezo wake mkubwa wa kuongoza. 2025 ni yeye tu na wala hatuhutaji kupiga kampeni kubwa maana anakubalika sana!
DuhPolisi wamekataza mikutano yetu ya hadhara Ngorongoro. Juzi Serikali ya Samia imekataza wabunge wa Ulaya kutembelea eneo hilo. Wanaficha kitu gani? Licha ya jitihada za Serikali, Ngorongoro sio gereza & Wamaasai sio wafungwa wa gereza hilo. Sisi tutakuwa Ngorongoro kuanzia kesho!
Tundu Lissu
Mtandao wa X
Tunapenda kukufahamisha kuwa barua yako tajwa tumeipokea ikiwa na maudhui ya kufanya vikao vya ndani na mikutano ya hadhara maeneo ya kata 3 zizopo tarafa ya Loliondo na kata 3 zilizopo tarafa ya Ngorongoro.
Hata hivyo tarafa ya Ngorongoro ni eneo la Hifadhi ya Mamlaka ya Ngorongoro na kwamba kuingia na kutoka eneo hilo ni sharti kufuata taratibu zinazosimamia eneo hilo (kupata kiball kutoka Mamlaka ya Ngorongoro).
Aidha kwa upande wa tarafa ya Loliondo kulingana na tarifa mbaimbali tulizo nazo haziruhusu kufanya shughuli za kisiasa hasa mikutano ya hadhara.
Kutokana na sababu hizo hapo juu, tunaelekeza kwamba usitishe mikutano hiyo kwa sasa hadi wakati mwingine ambao utakuwa mwafaka kwa ustawi wa amani na utulivu wa wilaya yetu.
Sana yaani saanaMagu alikosea sana sana! Kutuachia huyu
Umeeleweka vizuri Mzee johnthebaptist😀😀😂🔥
Shujaa Magufuli alimzuia Tundu Lisu kufanya mkutano Kibaha lakini Kidume Antipas kilienda na Mkutano alifanya 😀😀🐼🌟
Una habari ipi wew mshamba 🚮Nyie mgusane hukohuko mnakofundishana na wale wazee maarufu kwa mambo hayo. Mpaka umoja wa Mataifa inawajuwa kama inavyoijuwa Ngorongoro. Unataka ushahidi?
Nafahamu sana, kwenu kawaida kuguswa guswa na kuchezewa huko "ikweta", kwetu hata mikono hatugusani kijinga. Kumbuka hilo.
Huyo mwehu kuna habari zake tunazo, kuwa kishaanza kumkorofisha Mbowe, anadai na yeye mgao wake kwa nguvu.
Mbowe kasema hataki kuonana nae kabisa, jiulize kwanini? Huyo ukimuona alipo Mbowe ujuwe kajipeleka tu.
Hauko sawa wewNgorongoro ni hifadhi ya kidunia kwa sasa si ya Tanzania pekee.
Waliohamia humo ndani kuishi na wanyama, wote wanaondolewa na wameshapewa sehemu zingine za kuishi.
Lussu anataka kwenda kuhutubia fisi? Si akahutubie kwao kwenye mafisi wengi.
haya mwenzako anatafuta kiki! Shangazi wewe unatafuta nini?kujaza utumbo.....?Loliondo nako ni kitalu cha kuwinda, nani alimwambia waliokodisha hicho kitalu na wageni wao wanaokuja kuwinda kuwa wanataka siasa?
Huyo mwehu anatafuta kiki kijinga.
Huyu dada hayuko timamu kochwani ana hoja za hovyo sana itakuwa ni chawa huyoWewe you're imbecile kisa ya udini na ushabiki wakipuuzi...Mh Lissu sio traitor kama nyie majinga
Ulikuwa hujui ila sasa umejua baada ya kukuelewesha. Uwe unasoma nyuzi na comments zangu zina madini mengiPumbavu mkubwa wewe mjaa laana. Nani ambaye hajui Kama Ngorongoro unaingia kwa kibali?. Unajiona much know kumbe boya tu. Bakia na Samiah again wakati hata mafuta yamewashinda
Labda nyie wavuta bangi, sisi werevu tuna Imani na samiaJichunguze,
Hata mwenyewe anaelewa kinachoendelea, hakuna mtu hata mmoja mwenye akili zake timamu akapange foleni kumpigia kura hangaya
Hawana akiliCCM inataka kuficha uchafu wao huko.
Ya kuwauza si ndio😁🚮🚮🚮Labda nyie wavuta bangi, sisi werevu tuna Imani na samia
Asiye na Imani na Samia anakuwa mvuta bangi au sioLabda nyie wavuta bangi, sisi werevu tuna Imani na samia
Uwekezaji sio uuzwaji...Ya kuwauza si ndio😁🚮🚮🚮
Hawana hoja hawa vijana wa CCM washauzwa kinafsi na kiakili piaAsiye na Imani na Samia anakuwa mvuta bangi au sio
Akawekeze zenji na sio bara sasaUwekezaji sio uuzwaji...