Polisi wamgomea Lissu kufanya mikutano Ngorongoro, yeye asema ataenda kwani sehemu hiyo sio Gereza

Polisi wamgomea Lissu kufanya mikutano Ngorongoro, yeye asema ataenda kwani sehemu hiyo sio Gereza

Kila kona Dkt Samia! Tanzania inazizima kwa sababu ya uwezo wake mkubwa wa kuongoza. 2025 ni yeye tu na wala hatuhutaji kupiga kampeni kubwa maana anakubalika sana!
Jichunguze,
Hata mwenyewe anaelewa kinachoendelea, hakuna mtu hata mmoja mwenye akili zake timamu akapange foleni kumpigia kura hangaya
 
Polisi wamekataza mikutano yetu ya hadhara Ngorongoro. Juzi Serikali ya Samia imekataza wabunge wa Ulaya kutembelea eneo hilo. Wanaficha kitu gani? Licha ya jitihada za Serikali, Ngorongoro sio gereza & Wamaasai sio wafungwa wa gereza hilo. Sisi tutakuwa Ngorongoro kuanzia kesho!

Tundu Lissu
Mtandao wa X
Tunapenda kukufahamisha kuwa barua yako tajwa tumeipokea ikiwa na maudhui ya kufanya vikao vya ndani na mikutano ya hadhara maeneo ya kata 3 zizopo tarafa ya Loliondo na kata 3 zilizopo tarafa ya Ngorongoro.

Hata hivyo tarafa ya Ngorongoro ni eneo la Hifadhi ya Mamlaka ya Ngorongoro na kwamba kuingia na kutoka eneo hilo ni sharti kufuata taratibu zinazosimamia eneo hilo (kupata kiball kutoka Mamlaka ya Ngorongoro).

Aidha kwa upande wa tarafa ya Loliondo kulingana na tarifa mbaimbali tulizo nazo haziruhusu kufanya shughuli za kisiasa hasa mikutano ya hadhara.

Kutokana na sababu hizo hapo juu, tunaelekeza kwamba usitishe mikutano hiyo kwa sasa hadi wakati mwingine ambao utakuwa mwafaka kwa ustawi wa amani na utulivu wa wilaya yetu.
Duh
 
Nyie mgusane hukohuko mnakofundishana na wale wazee maarufu kwa mambo hayo. Mpaka umoja wa Mataifa inawajuwa kama inavyoijuwa Ngorongoro. Unataka ushahidi?

Nafahamu sana, kwenu kawaida kuguswa guswa na kuchezewa huko "ikweta", kwetu hata mikono hatugusani kijinga. Kumbuka hilo.

Huyo mwehu kuna habari zake tunazo, kuwa kishaanza kumkorofisha Mbowe, anadai na yeye mgao wake kwa nguvu.

Mbowe kasema hataki kuonana nae kabisa, jiulize kwanini? Huyo ukimuona alipo Mbowe ujuwe kajipeleka tu.
Una habari ipi wew mshamba 🚮
 
Ngorongoro ni hifadhi ya kidunia kwa sasa si ya Tanzania pekee.

Waliohamia humo ndani kuishi na wanyama, wote wanaondolewa na wameshapewa sehemu zingine za kuishi.

Lussu anataka kwenda kuhutubia fisi? Si akahutubie kwao kwenye mafisi wengi.
Hauko sawa wew
 
Loliondo nako ni kitalu cha kuwinda, nani alimwambia waliokodisha hicho kitalu na wageni wao wanaokuja kuwinda kuwa wanataka siasa?

Huyo mwehu anatafuta kiki kijinga.
haya mwenzako anatafuta kiki! Shangazi wewe unatafuta nini?kujaza utumbo.....?
 
Pumbavu mkubwa wewe mjaa laana. Nani ambaye hajui Kama Ngorongoro unaingia kwa kibali?. Unajiona much know kumbe boya tu. Bakia na Samiah again wakati hata mafuta yamewashinda
Ulikuwa hujui ila sasa umejua baada ya kukuelewesha. Uwe unasoma nyuzi na comments zangu zina madini mengi
 
lisu kwa machafuko hapana kwa kweli uzuri watanzania wanamsanifu tuh
 
Back
Top Bottom