Polisi wamgomea Lissu kufanya mikutano Ngorongoro, yeye asema ataenda kwani sehemu hiyo sio Gereza

Jichunguze,
Hata mwenyewe anaelewa kinachoendelea, hakuna mtu hata mmoja mwenye akili zake timamu akapange foleni kumpigia kura hangaya
Unaishi wapi mdau? Nahisi wewe haupo Tanzania kabisa. Mbona kila sehemu sifa za Dkt Samia ni kedekede
 
Tundu Lissu ni raia wa ajabu sana...

Amezusha tena...

Ameongopa tena kuhusu MWIBA HOLDINGS.....huyu jamaa huyu ni mtu wa kushangaza sana...
 
You are not a noble woman at all, screenshot yourself
 
Hivi Wana CCM hanakubaliana na haya mambo ya kihuni??
 
Wewe ni sadist
 
Endeleeni kujua
 
Wewe na Lisu nani ana akili?
 
Video: Kauli yake rasmi Tundu Lissu hii hapa (anzia dakika ya 1:20 na kuendelea.....)
Your browser is not able to display this video.
 
Ivi unajua kwamba idadi ya likes ktk post yako inakupa majibu ya ulicho andika??.
 
Mbona barua yenyewe maandishi hayana urari au ndio maana hilo jeshi division IV ni wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…