Polisi wamgomea Lissu kufanya mikutano Ngorongoro, yeye asema ataenda kwani sehemu hiyo sio Gereza

Polisi wamgomea Lissu kufanya mikutano Ngorongoro, yeye asema ataenda kwani sehemu hiyo sio Gereza

Mbona alikimbia baada ya uchaguzi!?
Na sasa huyo hapo yupo tena katika ubora wa afya na uwezo wa ufahamu na akili..

By the way, ku - retreat katika vita au mapigano si kushindwa wala kukimbia vita ila ni njia ya kujipa muda wa ku - strategize mipango ya kivita ili umfyatue vizuri adui yako..!!

Na ndivyo ilivyo na ndivyo ilivyokuwa maana kamanda wa vita wa jeshi pinzani la CCM aliyekuwa anaitwa John P. Magufuli a.k.a Jiwe dhidi ya Tundu Lissu na CHADEMA alipigwa kisasawa hadi kufa huku akimwacha jamaa (TUNDU LISSU) akiwa hai kama umuonavyo tena ktk ubora wa viwango vya juu zaidi..!

Fahamu na weka akilini mwako hilo ujiongezee uelewa, akili na ufahamu..
 
W
Sijali kapata nini wapi au wapi, hiyo siyo dawa ya kutokuwa mwehu.

Tena hapo umethibitisha kabisa kuwa huyo munyampaa ni mwehu.
Kuna tofauta sana kati ya mtu wa legals na tako wewe ....kweli kabisa na vichaa kama wewe vina zeeka
 
Ngorongoro kuna kaburi la halaiki, mamia kwa maelfu ya wamasai wameuawa huko baada ya kukaidi kupisha mwekezaji. Serikali hii imefanya UHALIFU WA BINADAMU mkubwa sana huko
 
Mungu awasaidie wawe na ufahamu na hekima katika kutuongoza.
Inanibidi nikushangae wewe. Bado unayo matumaini na hawa?

Kweli waTanzania ni watu wasiokosa visababu vya kutetea chochote, hata kiwe kibovu namna gani.
 
Ngorongoro kuna kaburi la halaiki, mamia kwa maelfu ya wamasai wameuawa huko baada ya kukaidi kupisha mwekezaji. Serikali hii imefanya UHALIFU WA BINADAMU mkubwa sana huko
Unao ushahidi wa hili, au unajiandikia tu na wewe uonekane upo mtandaoni?
Kama usemayo ni kweli, basi tumefikia hatua ambayo hatujawahi kuifikia kama taifa. Kama hili lipo,, kuna makubwa yatakayofuata.
Hili siyo jambo la kufichika kama lipo.
 
Lussu ni mwehu asiye na sera, hajuwi aelekee wapi, anadandia kila basi.

Na wewe nae, mada ngorongoro wewe upo bandarini.

Bandari ndiyo sahau, juzi imetangazwa tenda, kama unaweza kafanye kazi, la huwezi, tulia.

Huu ndiyo ujinga wa Kitanzania.
Mwehu ni mamako aliyekuzaa na huyo mamayenu anayewaongoza huko ccm nyie nguruwe wa dpworld unaofugwa kizmkazi kama mabwabwa.
 
Nyie mgusane hukohuko mnakofundishana na wale wazee maarufu kwa mambo hayo. Mpaka umoja wa Mataifa inawajuwa kama inavyoijuwa Ngorongoro. Unataka ushahidi?

Nafahamu sana, kwenu kawaida kuguswa guswa na kuchezewa huko "ikweta", kwetu hata mikono hatugusani kijinga. Kumbuka hilo.

Huyo mwehu kuna habari zake tunazo, kuwa kishaanza kumkorofisha Mbowe, anadai na yeye mgao wake kwa nguvu.

Mbowe kasema hataki kuonana nae kabisa, jiulize kwanini? Huyo ukimuona alipo Mbowe ujuwe kajipeleka tu.
Mwehu ni mamako aliyekuzaa na mamayenu anayewaongoza huko ccm, unamzungumzia mbowe unafikir mbowe anatafuta makahaba kama wewe unayejipendekeza kwake au warabu koko dpworld mliokuwa mnawashangilia wamewatelekeza mmeanza kutafuta madume nje ya makorido ya lumumba.
 
Wewe ndio unapotosha. Hawakumshangilia huyu mama Dulla Bali walishangilia mbaya wao kuondoka baada ya kuwaibia Kura 2020
Hakuna upotoshaji hapo mkuu, yote kwa yote huyu pia ilikuwa sehemu ya furaha yao, kila mtu alisema mama hawezi kumtesa mwanae sababu ya huruma.

:- Bado najifunza kila siku.
 
Hali iliyoko Ngorongoro ni siri kubwa.
Mikutano ikifanyika mengi yatajulikana na kuwekwa waxi!
 
Inanibidi nikushangae wewe. Bado unayo matumaini na hawa?

Kweli waTanzania ni watu wasiokosa visababu vya kutetea chochote, hata kiwe kibovu namna gani.
Nimeonesha wasiwasi kuwa, Dola inaweza kutumiwa vibaya na Viongozi katika kunyanyasa wasio na hatia.

Ndiyo maana kama unakumbuka hata baadhi ya Viongozi wa dini wamewahi kuhojiwa uraia wao nyakati fulani baada ya kuonekana wana ikosoa Serikali

Baadhi ya wafanyabiashara kukumbana na nguvu ya dola baada ya kuonekana wapo upinzani.

Baadhi ya Viongozi wa Upinzani kufanyawi blackmailing hadi kulazimika kuhamia upande wao na wengine ndiyo hao akina Lissu waliokumbana na madhila ya dola hadi kupata ulemavu wa kudumu.
=======
Hoja yangu ni kuwa pamoja na madhira yote hayo Wananchi wamekuwa kimya bila kuchukua hatua kuonesha wamechoshwa na unyanyasaji huu.

Kwahiyo unaweza kupatwa na madhira makubwa lakini hutaona msaada kutoka kwa Wananchi hawa walau kuwafanya Serikali ibadili namna ya kudeal na raia wake.

Mifano ni mingi ya watu waliofanyiwa mambo ya hovyo bila kupata msaada wowote kwa raia wenzake jambo linalofanya wengine kuingia na woga unapo-deal na dola.
 
Kwani wale wazee wanafanya kazi ndogo kueneza huo ushetani?

Tazama hii, shule nzima wamelawiti na kulawitiwa na wanafunzi wote:

Alikuwa padri wangu na rafiki yangu. Ndipo nilipogundua kuwa ni mchumba​

Jinsi kashfa ya Father Kit Cunningham imemfanya Peter Stanford kuhoji kanisa lake na imani yake...

Soma zaidi: He was my priest and my friend. Then I found out he was a paedophile


Vipi Lussu, hakusoma seminari?
Taja Padri mmojawapo Tanzania,mimi nimekutajia askari yule wa Zanzibar aliyeachiwa majuzi pumbavu zenu.
 
Back
Top Bottom