Polisi wamgomea Lissu kufanya mikutano Ngorongoro, yeye asema ataenda kwani sehemu hiyo sio Gereza

Vitisho hapo vipo wapi?
Ulichofanya hapa ni kuthibitisha kwamba unajiropokea tu mambo bila ya kuwa na uhakika wowote wa uwepo wa mambo hayo.

Hovyo kabisa.
Hovyo kabisa wewe. Unataka nipeleke wapi ushahidi wangu? Ni shahidi ngapi zimepuuzwa hadi leo hii na hii serikali yako ya hovyo ya ccm? Wake up black man
 
Ngoja nikuulize swali: Hivi ndio kwanza unabalehe, au vipi?

Mbona ni kama mtu ambaye unaanzia mwanzo kabisa, ambako wengine wote walishatoka huko?

Unataka na mimi nirudi huko, kwenye enzi hizo ambazo niliziacha kitambo sana?

Unakomalia jambo la kipuuzi kabisa ambalo umeamua tu kuropoka juu yake huku ukiwa una chochote cha kueleza juu yake. Sasa unataka watu wajadili nini hapa, kwa hayo uliyoyazua hapa!!
 
Wewe ni nani hadi uuite ushahidi wangu wakipuuzi? We k3ng3 achana na mimi sio level zako, wewe endelea na maisha yako ya kusifia watawala dhalimu wa ccm na kupata ujira wako wa elfu saba saba zako

Nakuhakikishia wewe na kizazi chako mtaendelea kuishi maisha ya kifukara hadi mnaingia kaburini huku watoto wa nape wakilisha familia yako kwa kibarua cha UCHAWA

Kama hujala leo njoo ule bata huku..
Tafuta pesa.jpg
 
Wewe ni nani hadi uuite ushahidi wangu wakipuuzi? We k3ng3 achana na mimi sio level zako, wewe endelea na maisha yako ya kusifia watawala dhalimu wa ccm na kupata ujira wako wa elfu saba saba zako

Nakuhakikishia wewe na kizazi chako mtaendelea kuishi maisha ya kifukara hadi mnaingia kaburini huku watoto wa nape wakilisha familia yako kwa kibarua cha UCHAWA
Wewe ni kiazi mbatata. Acha nisipoteze muda wangu bure na kilaza kama wewe.
 
Wewe endelea kuishi kwa kulamba makalio ya watawala, namimi niache niendelee kukosoa. Tatizo nini ndugu? Watu wasio na hatia wanauawa Ngorongoro na kuzikwa kama wanyama unataka nisiseme kitu? Mimi sina bei ya hongo kama wewe, wazazi wako bora wangepiga puri tu kuliko kuleta kilaza wa ajabu kabisa duniani
 
Wewe ni CHIZI tu asiyejua lolote analotaka kujadili.
 
Back
Top Bottom