Kwani uliona watanzania wote wanaropoka kwenye media?Bongo akili za wakemia zipo hovyo sana uchochezi na mkojo wapi na wapi si wakamatwe watanzania wote basi wapimwe mkojo akili za kijima sana maendeleo mtayasikia tuu..
Watu wangap nchi hii wanakunywa mipombe? Ni kosa la jinai???
Kwenye interview moja ipo kwenye YouTube pia anasema pombe anakunywa.Nimesoma na Tundu Lissu sikuwahi muona hata akionja pombe labda kama kajifunza ukubwani
Akili ya uchochezi inahusiana na ngada!Elimu elimu elimu, sasa uchochezi unapatikana kwenye mikojo? Au vita ya madawa ya kulevya haijawahi kumuacha MTU salama[emoji1] [emoji1]
Inji hii(kwa sauti ya lyatonga)
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mtaalamu,je wasipokuta chembe za ulevi itakuwa uchochezi umesababishwa na nini?Uchochezi unaweza kuwa umesababishwa na ulevi!simple and clear
Watampa maji kama anazubiri vipimo vya ultra soundKwahiyo wakifika watamuambia kojoa!!!!? Na akidai sijisikii kukojoa/sina mkojo.....what next!!
Sent using Jamii Forums mobile app
alimchochea nan? alie chochewa kafanya nini?mwenye akili timamu hawezi kuwa mchochezi
Uropokaji na ngada ni vitu vinavyoendana
Umeelewa lakini..?Huwezi kuropoka wakati wewe ni kiongozi kama haupo High!