Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamemshuku lazima wajiridhishe kwa hiyo atulie tu awaprove wrong.Na asipopimwa itaathiri mini?
try me
Heri ngada kuliko ufisadi!I hope chadema watampa Tundulisu ticket ya kuipeperusha bendera ya Chadema 2020
View attachment 547452
Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema amesema baada ya Tundu Lissu kutolewa ha Polisi cha Kati leo mchana, amefikishwa kwa Mkemia Mkuu wa Serikali na kupimwa mkojo.
Mapema asubuhi, mawakili akiwamo Fatma Karume walizuiliwa kuonana naye huku Jeshi la Polisi likisema litaendelea kumshikilia hadi uchunguzi utakapokamilika.
Mbunge huyo wa Singida Mashariki amekamatwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), akielekea Kigali, Rwanda kwenye kikao cha Halmashauri ya EALS kilichoanza jana.
"Kabla ya kuelekea nyumbani kwake Tegeta, wamempeleka kwa mkemia mkuu na ameshapimwa mkojo, sasa sijui ni kitu gani wanachunguza, kwa sasa wameshaelekea nyumbani kwake kwa ajili ya kumpekua,"amesema Mrema.
Licha ya kulala rumande hakuna aliyeruhusiwa kuingia na kumuona Tundu Lissu wakiwamo wanasheria wake. Mbali na Fatma, wengine waliokuwapo ni Peter Kibatala na Frederick Kihwelo.
====
UPDATE 1
Mapema kabla, Lissu alipitishwa kwa Mkemia Mkuu wa Serikali,alikataa kupimwa mkojo kwa sababu kipimo hicho hakihusiani na tuhuma za uchochezi.
More to follow
mkuu hii kazi ya kipuuzi sana hata mimi ilisha nishinda. japo sina kazi ila sijawahi tamani kuwa njagu hata siku mojaBaba alinishauri niwe polisi lkn nikaasema sitoweza mzee labda tuhame nchi ndio niwe polisi. Ninapokuwa ktk majukumu Mimi kufuata jambo kisa mkubwa amesema siwezi. Jeshi la polisi liache kujivunjia heshima ikiwa Hii habari ni ya kweli. Matokeo Yake ni kulidharaulisha jeshi zima.
.....Huwezi kuwa na wenge kiasi hiko bila kutumia kitu cha Arusha
Nani alifanya uchochez akapimwa mkojo?Na asipopimwa itaathiri mini?
try me
Sasa wanatilia mashaka mkojo wa Lissu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndio kazi ya polisi kuchunguza kila wanacho kitilia mashaka..........
Possible,Nimesema watambandikia kesi mbaya sana!
Duh! Hapo umeniacha hoooiii!!!!Hii Tanzania pengine kweli kama alivyosema rais Magufuli tumerogwa tu. Tuhuma za uchochezi unapima Mkojo na kumsachi nyumbani kwake. Nadhani ni kufuatia maneno yake ndiyo maana yuko mikononi mwa polisi. Sasa mkojo wake una uhusiano gani na maneno ya uchochezi. Pili hivi kuna baadhi ya maneno alibakiza nyumbani. Polisi wetu bhana
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamemshuku anatumia kilevi ndio maana anaropoka hivyo ni lazima wajiridhishe hakuna kosa kutuhumu au kushuku ni kazi ya polisi. Hata wafungwa waliopo gerezani walishukiwa kwanza."Maisha ya mwanaume anayewindwa"
Nitaamini vipi huo mkojo wang unapopimwa nikiwekewa madawa nisingiziwe ngada je
na suala la uchochez na kupima mkojo vinaendana vipi. Yan hata waliomshika hawajui wanamshikia nini ndo maana wanahangaika na kutaka sample ya mkojo for what
Maelekezo na Maamuzi kutoka Juu
Ukawa wakimpa Nafasi huyuI hope chadema watampa Tundulisu ticket ya kuipeperusha bendera ya Chadema 2020
wafuasi wa chama chakavu mmeishiwa hoja mmebaki vihoja.poleni sana hii Tanzania mpya wananchi tunajitambua
Mfano maneno gani aloyasema yanahusiana na kuhisi anatumia kilevi kwenye ile press?Wamemshuku anatumia kilevi ndio maana anaropoka hivyo ni lazima wajiridhishe hakuna kosa kutuhumu au kushuku ni kazi ya polisi. Hata wafungwa waliopo gerezani walishukiwa kwanza.
Kuhusu kutoamini sample ya mkojo kama itabadilishwa ama ala ipo sheria ya kuomba uchunguzi wa haki zaidi Kwa mfano aombe sample zikapimwe Rwanda n.k.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tundulisu hana sifa hata moja kazi ya hizo ulizotaja.Heri ngada kuliko ufisadi!
teh teh teh!
Aisee, kwa rafiki yake bwana yule!!!Wamemshuku anatumia kilevi ndio maana anaropoka hivyo ni lazima wajiridhishe hakuna kosa kutuhumu au kushuku ni kazi ya polisi. Hata wafungwa waliopo gerezani walishukiwa kwanza.
Kuhusu kutoamini sample ya mkojo kama itabadilishwa ama ala ipo sheria ya kuomba uchunguzi wa haki zaidi Kwa mfano aombe sample zikapimwe Rwanda n.k.
Sent using Jamii Forums mobile app