900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 9,485
- 11,556
Ndege akishachomoka mtegoni wajanjaa wanaruka naye. Eti naatakaye sambazaHiki ni kituko!
Ukisikia mbwa kala mbwa ndio hii sasa🤣🤣 mambo yamekuwa moto taratibu tutaelewana.
Sasa wanamsaka nani wakati page yao ndio imesambaza taarifa hizo za upotoshaji?
Ila majirani inabidi tuongee vizuri wawa dada na kaka wa East Africa, halafu Nigeria na South Africa watakuwa mabinamu wa EA.
Wabongo nina imani tumepata somo🌚🌚
=====
View attachment 3339663
Una uhakika gani ndizo zilizoanza?Oh that simple sana, angalia accounts zilizoanza kutos hiyo taarifa midnight jana
Kwahiyo wamedukuliwa donatiHawa ndugu zetu wanajua maana ya hacking?
uhakika upo online na wazi kabisa. After ile hacking muda mchache account ya kenya or inayomilikiwa na mkenya start to boast about thatUna uhakika gani ndizo zilizoanza?
Kwa hiyo ku-boast kukakupa hakika kuwa ndiyo mhusika!?uhakika upo online na wazi kabisa. After ile hacking muda mchache account ya kenya or inayomilikiwa na mkenya start to boast about that
Then account za tanzania zikadakia
Like realy man? kuna namna ya ku follow first source imeanzia wapi. Kwa wale verified users (wenye tik) , X inakupa access hiyoKwa hiyo ku-boast kukakupa hakika kuwa ndiyo mhusika!?
Wanajaribu kushindana na teknolojia, wacha tuendelee kunywa supu tukiangalia vile wanapata tabuKamwe usishindane na mitandao ya kijamii. Watakuja kuzima social media watu watatumia VPN moto uko pale pale mpaka wafe kwa kisukari na presha.
Yaani wanamtafuta hacker kwny viunga vya daresalamu!Hivi hawa ndugu zetu wanajua maana ya hacking?
Wewe ni expert wa digital forensics!?.. unaamini umewazidi wote ndani ya jeshi la polisi kwenye digital forensics?Like realy man? kuna namna ya ku follow first source imeanzia wapi. Kwa wale verified users (wenye tik) , X inakupa access hiyo
Unafeli wapi
Kuna watu wachojua ni kutafuta mchawi. Unakuta mtu analala mlango wazi, halafu akiibiwa anasema "kuna mtu alikuja kufungua mlango na kuingia ndani, na kuiba."Umethibitisha vipi ni wakenya?
Yaani wanamtafuta hacker kwny viunga vya daresalamu!
Ni "ninyi" na sio (nyinyi)Hapo na si apo,mnatokea wapi nyinyi msiojua kuandika kiswahili!?
Wanaishi kijimaWalivyo vichwa ngumu, hawajakubali kuhakiwa, ila wamesema mtu kasambaza taarifa za uongo