PreGE2025 Polisi wamsaka aliyesambaza taarifa za upotoshaji katika ukurasa wa Polisi X (Twitter)

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hahahaah elimu elimu elimu tuliwahi kuambiwa na mzee fulani πŸ˜› πŸ˜›
Kuna mdau ameweka uzi humu kwamba kwenye ishu ya IT na social media Wakenya ni level nyingine, Tayari wameshaanza kutupa za uso.

Hadi tutakaa sawa, si tunajidai tumechanganyikiwa.
 
Ile picha chafu inatembea Tu Huko mtandaoni na huyo alihack hiyo page ya polisi hayupo hapa nchini.
Polisi nyie ni mazombi Sana, nendeni Kenya mkawakate waliotengeneza hiyo picha
Hiyo picha chafu inahusu Nini na nani,
 
Hapo UT umemaanisha nini?
NIS ni National intelligence services (Kenya) kwamba nao wana huu mda wa kijinga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…