PreGE2025 Polisi wamsaka aliyesambaza taarifa za upotoshaji katika ukurasa wa Polisi X (Twitter)

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Sasa hii yenyewe tutaamiji vipi kama ni ya kweli?

Kama zile sio ya kweli na hii siyo ya kweli.
 
Tunasubiri ubalozi wa Marekani utupe dodoso
 
Kwanza unasema yupo kiongozi wa EAC anaumwa.
Sasa unasema Rais Samia amefariki.
 
hapoo wakenya wamebeep tu

bado kidogo watapiga kabisa

Mama, mwenzako ruto kawashindwa huko hadi ameomba poo!
 
Dada adriz unaumia ukiwa wapi?
Ila nyie jamaa vita yenu ya Palestine na Israel inabidi siku moja mchague kiwanja (natural ground ) mpange time tuwepo mashaidi mzichape weee kavu kavu 👊👊 no weapon 🔪🔫 heshima ipatikane🤝
 
Ziko wapi sasa hizo taarifa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…