Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ni hivi, hawa vijana kinachowakuta ni laana, huwa wanatumika kuua na kuteka watu, sasa zile Dua za ndugu wa Marehemu (KURJUAN) ndio zinasababisha anakamatwa kibwege kwa kugombania demu mchafu.wanawake wenyewe wa mikorogo hawa, kah! ndio nigombane na mwanaume mwenzangu nilishaikataa hii
🤣🤣🤣🇹🇿🫡Tunasubiri pia kukamatwa kwa askari aliyesambaza porno ya Meneja wa club.
NakaziaIla hii dunia yani mtu mzima unahangaika na madisco na ulevi hadi asubuhi, ndio shida za hela za bure unakuwa kama mwehu tu
😂🤣😂🤣Workmate kazingua
Derick Derick Kaharibu Sana SanaHao wanaotaka kutumia eti sijui mimi usalama ndio amchukue demu wanakuwa ni washamba sana
TrueIla hii dunia yani mtu mzima unahangaika na madisco na ulevi hadi asubuhi, ndio shida za hela za bure unakuwa kama mwehu tu
Na akitoka huko tutamtafuta kitaa, awajibishwe na mahakama ya wahuni, huyu dawa ni kumpididi na kurekodiwa kisha isambazweIlikua siku mbaya kwake...najua atashinda kwa hila,ila tayari ni aibu kwake hasa kwenye familia yake,na kikazi atawajibishwa kwa demotion,atasahaulishwa.
Porojo tu hz, huyo hafanywi kitu, kwanza inawwzekana hata sasa hv ameishapewa likizo, yupo Nairobi, kama tukio la afande na binti kubakwa, Yule afande hajafanywa kitu, hapo hakuna kitu, the goose is already cookedWakuu,
Baada ya kuwepo kwa video zinazosambaa mtandaoni kuhusu mwanaume mmoja aliyedaiwa kuwa ni Afisa wa Usalama wa Taifa mwenye jina la Derick Junior kumpiga raia kwa kitako cha bunduki wakati akiwa kwenye 1234 club huko Masaki, Jeshi la Polisi hatimaye limetoa tamko.
Kwenye tamko lao, Jeshi La Polisi limethibitisha kumkamata mwanaume huyo na kusema kuwa kwa sasa wako kwenye mchakato wa kumpeleka kwenye hatua nyingine za kisheria.
Aidha Jeshi la Polisi lilisisitiza kuwa litamchukua hatua kali mtu yeyote anayemiliki silaha na kuitumia isivyopaswa.
Soma pia: Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi
Unataka umbatize kwa mafuta mkuu?Na akitoka huko tutamtafuta kitaa, awajibishwe na mahakama ya wahuni, huyu dawa ni kumpididi na kurekodiwa kisha isambazwe
Ya P.DiddyUnataka umbatize kwa mafuta mkuu?
Derick unagombea mwanamke wa kilabuni kwa bastola.umemkuta kilabuni.yaani unataka kumuua mwenzio kwaajili ya mwanamke wa kilabuni? Ukizubaa SHETANI huwa anaondoka na fikra zote.saa hizi ndiyo amemrudishia Derick fikra zakewanawake wenyewe wa mikorogo hawa, kah! ndio nigombane na mwanaume mwenzangu nilishaikataa hii