Polisi wamtia mbaroni anayedaiwa kuwa "Afisa Usalama" aliyemjeruhi raia kwa 'kitako cha bunduki'

Wamemshikilia kituo gani cha polisi?

Nimeona mtandao wa X wanandugu wanasema hawajui aliposhikiliwa.

Pia taarifa nyingine inasema jina hilo ni la kubumba.

Huyo ni mtoto wa aliyewahi kuwa gavana msaidizi wa BoT .

Polisi wajiondoe kwenye mtanzuko huo kwa kutoa taarifa zaidi za uwazi vinginevyo nii naona ni kama story ya Fatma Kigondo ukurasa wa pili.
 
Inafikirisha sana ,wakati watu wanapigia kelele idara inayumba na kutoka katika misingi ya sijui ndio kuandikisha sijui ajjra sijui kujitolea kuna watu walitabasamu na kucheka kabisaa taratibu majibu yanaanza kuonekana hivi inawezekanaje kweli mambo kama haya yatokee kwa watu smart? Usiri wa idara uko wapi? Kila baa kila kasino wakiingia tu utasikia yule jamaa usalama yule ,
Kwa muktadha huo hata habari za kiusalama watazipata vipi wakiogopeka na kujulikana?
.Sio muda mrefu watadharaurika kama polisi hilo jamaa lingekutana hata na mwanangu tu angelitoa ushuzi zembe zembe tu ,na huyo aliyepigwa alilewa pombe gani akatebwereka hivyo
 
Wakuu,

Baada ya kuwepo kwa video zinazosambaa mtandaoni kuhusu mwanaume mmoja aliyedaiwa kuwa ni Afisa wa Usalama wa Taifa mwenye jina la Derick Junior kumpiga raia kwa kitako cha bunduki wakati akiwa kwenye 1234 club huko Masaki, Jeshi la Polisi hatimaye limetoa tamko.

Kwenye tamko lao, Jeshi La Polisi limethibitisha kumkamata mwanaume huyo na kusema kuwa kwa sasa wako kwenye mchakato wa kumpeleka kwenye hatua nyingine za kisheria.

Aidha Jeshi la Polisi lilisisitiza kuwa litamchukua hatua kali mtu yeyote anayemiliki silaha na kuitumia isivyopaswa.

Soma pia: Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi

Tatizo la huyo kijana linaanzia kwenye jina lake la Junior. Kuna majina mtu akiwa nayo yanamfanya aendelee kujiona mtoto hata pale ambapo mavuzi yameota hadi kusini mwa mataco. Ipo haja ya kuangalia upya majina ya hawa vijana kabla ya kuwapa kibali cha kumiliki silaha za moto.
 
Wamemshikilia kituo gani cha polisi?

Nimeona mtandao wa X wanandugu wanasema hawajui aliposhikiliwa.

Pia taarifa nyingine inasema jina hilo ni la kubumba.

Huyo ni mtoto wa aliyewahi kuwa gavana msaidizi wa BoT .

Polisi wajiondoe kwenye mtanzuko huo kwa kutoa taarifa zaidi za uwazi vinginevyo nii naona ni kama story ya Fatma Kigondo ukurasa wa pili.
Kichapo pekee hakimtoshi huyo pimbi, Tafuta vijana wa Tabata wabebe na Baby Johnson wakaMpididy ili akili ikae sawa.
 
Ni hivi, hawa vijana kinachowakuta ni laana, huwa wanatumika kuua na kuteka watu, sasa zile Dua za ndugu wa Marehemu (KURJUAN) ndio zinasababisha anakamatwa kibwege kwa kugombania demu mchafu.

Wengi wao ukiacha kujua kuteka na kuua ni Washamba sana wa mambo mengi mno!

unagombea demu club wakati midemu imejaa kila kona!
Sio vizuri kumuita yule binti demu mchafu. Kutokana na maelezo ya humu ndani alikuwa ameongozana na kaka yake. Bwana Derick akamtaka lakini akamkataa. Kaka yake alipoona jamaa ni king'ang'anizi ndio akaamua kumtetea. Mtu wa kulaumiwa hapa ni Derick na sio mtu mwingine. Kumuingiza huyu binti ni kumsafisha Derick. Sio vizuri.
Sio kila mwanamke anayeenda klabu anaenda kujiuza. Na hata kama anajiuza, haimfanyi jalala ambalo kila mtu anaweza kuondoka nae akijisikia.

Amandla...
 
Wakuu,

Baada ya kuwepo kwa video zinazosambaa mtandaoni kuhusu mwanaume mmoja aliyedaiwa kuwa ni Afisa wa Usalama wa Taifa mwenye jina la Derick Junior kumpiga raia kwa kitako cha bunduki wakati akiwa kwenye 1234 club huko Masaki, Jeshi la Polisi hatimaye limetoa tamko.

Kwenye tamko lao, Jeshi La Polisi limethibitisha kumkamata mwanaume huyo na kusema kuwa kwa sasa wako kwenye mchakato wa kumpeleka kwenye hatua nyingine za kisheria.

Aidha Jeshi la Polisi lilisisitiza kuwa litamchukua hatua kali mtu yeyote anayemiliki silaha na kuitumia isivyopaswa.

Soma pia: Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi

Hapa ndipo pilisibwanapoanza ubabaidhaji taarifa yao wanaficha kazi ya accused pia chanzo cha vurugu wanaficha ili kuanza kumtengenezea mazingira mepesi accused ya kuchomoka ila huwa nawashangaa angefenya mtu wakawaida hapo ungekuta wameweka full particular na hyo siraha ungekuta ishatangazwa kufutwa zaman umiliki.
 
Wakuu,

Baada ya kuwepo kwa video zinazosambaa mtandaoni kuhusu mwanaume mmoja aliyedaiwa kuwa ni Afisa wa Usalama wa Taifa mwenye jina la Derick Junior kumpiga raia kwa kitako cha bunduki wakati akiwa kwenye 1234 club huko Masaki, Jeshi la Polisi hatimaye limetoa tamko.

Kwenye tamko lao, Jeshi La Polisi limethibitisha kumkamata mwanaume huyo na kusema kuwa kwa sasa wako kwenye mchakato wa kumpeleka kwenye hatua nyingine za kisheria.

Aidha Jeshi la Polisi lilisisitiza kuwa litamchukua hatua kali mtu yeyote anayemiliki silaha na kuitumia isivyopaswa.

Soma pia: Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi

Tunatska kujua jina kamili la huyo mtu Derrick.
Kwenye vitambulisho vya nida hakuna jina la mtu linakoishia na junior
 
Sio vizuri kumuita yule binti demu mchafu. Kutokana na maelezo ya humu ndani alikuwa ameongozana na kaka yake. Bwana Derick akamtaka lakini akamkataa. Kaka yake alipoona jamaa ni king'ang'anizi ndio akaamua kumtetea. Mtu wa kulaumiwa hapa ni Derick na sio mtu mwingine. Kumuingiza huyu binti ni kumsafisha Derick. Sio vizuri.
Sio kila mwanamke anayeenda klabu anaenda kujiuza. Na hata kama anajiuza, haimfanyi jalala ambalo kila mtu anaweza kuondoka nae akijisikia.

Amandla...
Nimezungumzia General na hasa nililenga kuwazungumzia sana hao wanaoitwa Wanauslaama, sikumlenga hasa huyo dada
 
Back
Top Bottom