Polisi wamtia mbaroni anayedaiwa kuwa "Afisa Usalama" aliyemjeruhi raia kwa 'kitako cha bunduki'

Polisi wamtia mbaroni anayedaiwa kuwa "Afisa Usalama" aliyemjeruhi raia kwa 'kitako cha bunduki'

Hongereni jeshi letu pendwa la police kwa kazi kubwa mnayoifanya..tunaomba huko mbele tupewe mrejesho...swali langu kwanini Siku hizi mtu akimiliki bastora ni TISS? Kwanini TISS wamekuwa wakifahamika siku hizi je Ni TISS Kweli au kuna wanaopitia mgongo wao?
 
Hongereni sana jeshi letu pendwa la police kwa kazi kubwa mnayoifanya...tunaomba huko mbele tupewe mrejesho kinachoendele..maswali yangu kwani siku hizi mtu akimiliki bastora anaitwa TISS? Je, TISS siku hizi wanafahamika kirahisi? au kuna watu wanapitia mgongoni mwao? kwamwenye uelewa anifahamishe.
 
TISS ni taasisi ya usiri na ukimya sana na hata ikichafuliwa bado wako kimya ndio maana kila mtu anaweza akatumia uchochoro huo. Wengi wanaojifanya sio wao na wenyewe wala hawajifanyi sababu deep inside kufanya kazi kule sio rahisi kama watu wanavoona.
 
Sahihi
 
Kama kuna mwenye picha ya Derick anaweza kutuwekea hapa ili tumjue vizuri huyu jamaa .Kila nikiangalia ile clip najisikia vibaya sana.Nadhani ni video mbya zaidi kwangu kwa mwaka huu.Hasa sababu ya ugonvi yenyewe
 
Sativa aliiposti Leo mjini X
 
Hizi pesa za bure zina laana ndio maana inatumika kugombania sehemu yenye laana. Sehemu hiyo ya Mwanamke ililaaniwa kwenye Bustani ya Eden wakati Adamu na Hawa walipokula tunda la mti wa kati.
 
Sio vizuri kumuita yule binti demu mchafu. Kutokana na maelezo ya humu ndani alikuwa ameongozana na kaka yake. Bwana Derick akamtaka lakini akamkataa. Kaka yake alipoona jamaa ni king'ang'anizi ndio akaamua kumtetea. Mtu wa kulaumiwa hapa ni Derick na sio mtu mwingine. Kumuingiza huyu binti ni kumsafisha Derick. Sio vizuri.
Sio kila mwanamke anayeenda klabu anaenda kujiuza. Na hata kama anajiuza, haimfanyi jalala ambalo kila mtu anaweza kuondoka nae akijisikia.

Amandla...
Humu, as long as kuna neno “mwanamke” atatukanwa tu. Wanawake wa humu tumeshazoea na halitupi shida.

Huyo mdada wa watu kwenye video kuna sehemu ameonekana kumrushia bwana Derrick kingumi cha uoga “kike” katika harakati za kumtetea “kaka yake” lakini hilo haliwezi kuonekana.

Na kuna watu wakeshatengeneza hypothesis za kuwa huyo dada na kaka yake walikuwa wanalipiwa bills na bwana Derrick usiku kucha kwahiyo ni haki ya bwana Derrick alichofanya, Tunao yaongea haya sote hatukuwa 12, wengine tupo “ghalanyangu” ndani ndani huku.
 
Siyo usalama, ni kibaka tu wa kawaida, anayetamani vyeo visivyo kuwa vyake na anafanya kazi TRA. Hajawahi kwenda kozi hata ya siku moja ya usalma wa Taifa. Mpuuzi tu aliyelewa akaamua kuchukua sheria mkononi kisa malaya wa Massaki.

Pia ana ukaribu na IGP wa sasa Camillius Wambura ( Mjomba wake), hivyo apuuzwe sio mtu wa kitengo.
Ningeshangaa nisingekukuta hapa 😜
 
Back
Top Bottom