Polisi wamtia mbaroni anayedaiwa kuwa "Afisa Usalama" aliyemjeruhi raia kwa 'kitako cha bunduki'

Polisi wamtia mbaroni anayedaiwa kuwa "Afisa Usalama" aliyemjeruhi raia kwa 'kitako cha bunduki'

Derick unagombea mwanamke wa kilabuni kwa bastola.umemkuta kilabuni.yaani unataka kumuua mwenzio kwaajili ya mwanamke wa kilabuni? Ukizubaa SHETANI huwa anaondoka na fikra zote.saa hizi ndiyo amemrudishia Derick fikra zake
Derick hana akili kabisa, kweli aziniye na mwanamke hana akili, Derick hata ukitoka huna akili na kwenye vikao usije
 
Wakuu,


Baada ya kuwepo kwa video zinazosambaa mtandaoni kuhusu mwanaume mmoja aliyedaiwa kuwa ni Afisa wa Usalama wa Taifa mwenye jina la Derick Junior kumpiga raia kwa kitako cha bunduki wakati akiwa kwenye 1234 club huko Masaki, Jeshi la Polisi hatimaye limetoa tamko.

Kwenye tamko lao, Jeshi La Polisi limethibitisha kumkamata mwanaume huyo na kusema kuwa kwa sasa wako kwenye mchakato wa kumpeleka kwenye hatua nyingine za kisheria.

Aidha Jeshi la Polisi lilisisitiza kuwa litamchukua hatua kali mtu yeyote anayemiliki silaha na kuitumia isivyopaswa.

Soma pia: Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi

Mbeleko imekata?
 
Hao Jamaa ni washamba sana, wazee wa unanijua mie nani, huyo alitakiwa anyooshwe mtaani tu
Huyu Derrick sema alikutana na jamaa yuko vyombo. Kwa jinsi alivyovyokuwa anamjia huyo dogo hana weledi wowote kwenye mapigano ya ana kwa ana angekutana na vijana wa Mjini akina Extrovert angepigwa Keleb za maana hata bastola asijue iko wapi.
 
Kwa hiyo kwa sasa ukiwa na demu, dada au mke pisi ni hatari kwenda naye Club, maana waweza kutana huko na wahuni wa TiSS ambao wapo tayari kuua ili tu wakat#mb£ kwa lazima?!!

Kazi ya kuteka na kuua watu ishawaharibu akili
 
MENEMENE TEKERI NA PERESI mwanangu umefanya nimevuruga ukimia wa hapa kijiweni kwangu. Sasa mkuu kama uko vzuri fanya mpango tumtafute Derick mitaa yote ya Obay, Masaki na Msasani tumshikishe adabu.
nyboma wafundeni hawa vijana wanaharibu Image ya Kitengo
Toka asubuhi baada ya kuona hii taarifa ,nimekuwa naulizia huko kwa kupiga simu kwa wanangy na ndugu zangu wa obey ikiwa wanamjua huyu jamaa kuwa niko tayari kwa pambano ila tutalificha kwa Kodi wasijesema anaharibu image ya taasisi .

Nakuja kugutuka kumbe mamwela wameshamtaiti mwamba ,ila usijali akichomoka ninaye na nitakujulisha
 
Back
Top Bottom