Uchaguzi 2020 Polisi waondoa kizuizi alichowekewa Tundu Lissu Kiluvya. Asema anaendelea na safari yake

Uchaguzi 2020 Polisi waondoa kizuizi alichowekewa Tundu Lissu Kiluvya. Asema anaendelea na safari yake

Hiki ndio kipnd kigumu kwa makand wa mapolice kupanga Hoja za kisheria za TAL hasa ktk kutekelez maagzo
 
Upinzani wa bongo|Tanzania bwana!.

Ukiachiwa huru|ukipewa haki yako uongozi unakua umelegea..Haha.

Sawa,Endeleeni kuvunja sheria tu kwa kutafuta political violence.

Itafika mahali itabidi kila mtu mwenye madaraka atimize wajibu wake ipasavyo.
Kwanini wanazuiwa kufanya hata yaliyo halali kao?
 
TAL ni jasiri. Jioni ya jana nilizungukia vijiwe kadhaa vikiwepo vya CCM,, kuzuiwa kwa TAL ndo habari kuu...
 
ccm ya sasa imejaa wajinga watupu matendo yao ni kama wapo boarding school wana visa visa figisu figisu za kijinga jinga nyingi bila kikomo

Kuna andiko kwene Biblia linasema Yesu Kristo atahubiriwa hata KAMA NI KWA HILA....!!
Kitendo cha Serikali ya CCM kumzuia Mhe. Tundu Lissu asiende Mlandizi KIMEMTANGAZA LISSU KWA SAUTI KUBWA ZAIDI na kwa lugha rahisi CCM WAMESAIDIA SANA LISSU KUMFANYIA KAMPENI MHE. TUNDU LISSU....!!
Shame on you Magufuli , Policcm and CCM party, you're just a bunch of fools!!!
 
06 October 2020
Mlandizi, Pwani
Tanzania

#LIVE TUNDU LISSU ANAENDESHA KIKAO CHA NDANI MUDA HUU MLANDIZI​

38,129 views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu akitekeleza majukumu ya shughuli za chama Kibaha Vijijini ktk mji mdogo wa Mlandizi kama alivyopangiwa na Kamati Kuu ya CHADEMA

Mhe. Tundu Lissu ni mtu anayejitambua sana na anajua HAKI zake na za wengine na namna ya kuzipigania na kuzitetea.
Hii ni credit kubwa sana kwa Mhe. Lissu na pengine ilipo HOFU ya Magufuli na CCM yake! Bado CCM wana ikumbuka ile kauli ya Kikwete kwamba: NI AFADHALI KUWA NA KINA DR. SLAA 10 KULIKO KUWA NA TUNDU LISSU 1 BUNGENI....!!!
 
Kuanzia saa nane mpaka usiku? Nafikiri kama akili zake zinafanya kazi,atakuwa amegundua kuwa swala la kuwaingiza watz barabarani haliwezi kuwa jepesi kama alivyokuwa analichukulia.
Inawezekana umeandika kitu usichokijua ila maboss wako wanakijua ndo maana wanatumia nguvu kubwa sana kumdhibiti
 
[emoji3577][emoji3577][emoji3577]
4890980.jpg
 
Inawezekana umeandika kitu usichokijua ila maboss wako wanakijua ndo maana wanatumia nguvu kubwa sana kumdhibiti
Hakuna nisichokijua kihusu CCM na serikali, kungekuwa na kitu cha maana ningekuwa najua tayari.
 
TAL ni jasiri. Jioni ya jana nilizungukia vijiwe kadhaa vikiwepo vya CCM,, kuzuiwa kwa TAL ndo habari kuu...
Jana CCM na Polisi wamemsaidia sana Mhe. Tundu Lissu kumfanyia Kampeni tokea Kiluvya kwenda kwa Watanzania na Dunia nzima!!
 
TAL ni jasiri. Jioni ya jana nilizungukia vijiwe kadhaa vikiwepo vya CCM,, kuzuiwa kwa TAL ndo habari kuu...
Ulikuwa unazungukia vijiwe badala ya kwenda kukinukisha?
 
06 October 2020
Mlandizi, Pwani
Tanzania

#LIVE TUNDU LISSU ANAENDESHA KIKAO CHA NDANI MUDA HUU MLANDIZI​

38,129 views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu akitekeleza majukumu ya shughuli za chama Kibaha Vijijini ktk mji mdogo wa Mlandizi kama alivyopangiwa na Kamati Kuu ya CHADEMA
Wale machoko waliomfungia huyu jamaa kufanya kampeni, wana feel aje wakiona jina la Tundu bado lina trend mitandaoni kumzidi hata mume wao Yohana ?
 
ccm ya sasa imejaa wajinga watupu matendo yao ni kama wapo boarding school wana visa visa figisu figisu za kijinga jinga nyingi bila kikomo
Ccm wana ule ubabe wa form two kwa form one, yaani they lead their lives kama watoto hivi.
 
Binadamu siko zote uhitaji mabadiriko sasa unapomlazimisha abaki katka hali ileile jua unatafta matatizo na unaowaongoza
Ndo nakuuliza Sasa,raia wakiingia barabarani ndo watapata maendeleo?
 
Back
Top Bottom