Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Absolutely true!!Madaraka yafaa tufuate sheria, sababu hakuna madaraka yasiyo fuata sheria usipofuata sheria ukiwa madarakani basi utakuwa unaleta uhuni, usitumie madaraka kukandamiza wengine bila kufuata sheria na taratibu, shida ni moja walio na madaraka hawataki fuata sheria ambazo wamezitunga wao wenyewe, hilo ndilo gonjwa kuu la viongozi wa afrika, na cha ajabu pana wapuuzi uunga mkono tabia hii, Mimi naamini ukiona mtu mpuuzi basi atatuletea kizazi cha kipuuzi pia, sababu embe halianguki mbali na mti wake.