Uchaguzi 2020 Polisi waondoa kizuizi alichowekewa Tundu Lissu Kiluvya. Asema anaendelea na safari yake

Polisi walimpigia kampeni Lissu jana siku nzima wangemuacha hata watanzania wengi wasingejuwa hata ameenda mlandizi
 
Absolutely true!!

Aliye madarakani anatakiwa afanye mambo tu ambayo sheria inamtaka afanye(kwa Mujibu wa sheria).

Lakini,pia upande wa ambaye hayupo madarakani basi inambidi afanye yote isipokuwa yale yaliyokatazwa kisheria.

Imani Yangu endapo ikitokea both aliye madarakani na asiye madarakani akatimiza wajibu ipasavyo sidhani kama kuna kitu kibaya kitatokea.

Sometimes tunayataka wenyewe kufanyiwa vibaya na wenye madaraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…