Askofu Niwemugizi Shekhe Ponda pia mlisema sio raia yako wapi? Kila mtu anayesema tendeni HAKI mnambambikia kesi.Hujui wewe huyo Golugwa aweza kuwa sio raia ana uraia wa nchi mbili na passport za nchi mbili za majina tofauti
Akitoka nchini anasafiri na passport ya nchi nyingine sio ya Tanzania kwa sababu za kigaidi
Kwa hiyo polisi sasa hivi wanafanya majukumu yote?kazi ya polisi wa uhamiaji ni nini?basi jeshi la uhamiaji lifutwe na majukumu yake yafanywe na polisi wa kawaida.wao walijuaje kama documents zake zina makosa?hii nchi sasa inaenda kubaya kiasi kwamba raia sasa hivi hatuna haki kabisa na nchi yetu.omekuwa ni nchi ya watawala pekee yao.wao ndo wanaamuru kila kitu juu ya maisha yetu.wakitaka kesho uuawe basi unauliwa na hakuna wa kuhoji.hatari sana huko tuendako.Wakuu,
Ila Polisimpaka hata ni fezea kuanza kuwajibu! Hivi wanajiskiaje wakiandika huu upuuzi?
Uhamiaji wako wapi kufanya kazi yao? Na kipindi chote hiko walikuwa hawaoni kama anashida kwenye documents zake?
Asee Jeshi la Polisi sasa limekuwa kama tambara kwa wanasiasa, hii ni aibu sana! Tunaelekea wapi?
====
TAARIFA KWA UMMAJeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam linatoa taarifa kwa Umma kuwa tarehe 13/05/2025 majira ya saa 06:45 usiku katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere lango namba 03 (terminal 03) lilimkamata
KUKAMATWA KWA NAIBU KATIBU MKUU TANZANIA BARA WA
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
Amani Golugwa, Naibu Katibu Mkuu Tanzania Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akiwa katika maandalizi ya kusafiri kuelekea Brussels Nchini Ubelgiji.
Jeshi la Polisi lilimkamata Naibu Katibu Mkuu huyo kufuatia taarifa za siri kuwa amekuwa na mienendo ya kuondoka na kurudi Nchini bila kufuata
taratibu za kisheria hapa Nchini.
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam linaendelea na uchunguzi wa kina wa taarifa hizi kwa kushirikiana na Vyombo vingine vya Usalama kuhusu suala hilo.
Jeshi la Polisi linatoa wito kwa wananchi kuendelea kuwa watulivu wakati uchunguzi ukiendelea na kupuuza taarifa za upotoshaji kuhusu hatua hizi za kisheria zinazomhusu mtajwa
Imetolewa na;
Kaimu Kamanda wa Polisi
Kanda Maalum ya Dar es Salaam
View attachment 3332607
Pia soma Pre GE2025 - News Alert: - CHADEMA: Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa amekamatwa na Jeshi la Polisi usiku wa leo. Inadaiwa amepigwa sana
Kupuuza taarifa za upotoshaji toka kwa wananchi.... 😅Wakuu,

Sawa kwa sababu hii itasaidia kupunguza GHARAMA ZA KULAZA MGONJWA PALE MUHIMBILIKwa kauli zao hizi hizi za kujiwasha kisha wakanuka ,hawafai kuludishwa ulaiani ,waunganishwe na mwenzao ,huyu aliezuiliwa kusaifiri si ndio yule alietoa masaa 72 ,
Polisi hakikisheni haondoki mtu. Yaani akuna kusafiri kwa kiongozi yeyote mpa umalizike uchaguzi eei kisije kikawaka wao wapo uko .
Mkikamata unganisheni na Lisu wataenda kuungana na Mbutolwe mwana wa umma.
Uhamiaji wana sehemu yao na polisi wana sehemu yao. Wajibu wa uhamiaji ni kukagua nyaraka za msafiri, wakigundua zinautata, siyo kazi yao kumkamata. Suala la kumkamata ni wajibu wa jeshi la polisiAirport hakuna uhamiaji? Uhamiaji wakibaini hayo huzuia mtu kupita au hukamata?
Wana ukamataji pia pale wanapokuwa na mashaka na msafiri then wana mkabidhi kwa mamlaka husika.Uhamiaji wana sehemu yao na polisi wana sehemu yao. Wajibu wa uhamiaji ni kukagua nyaraka za msafiri, wakigundua zinautata, siyo kazi yao kumkamata. Suala la kumkamata ni wajibu wa jeshi la polisi
Bila shaka ndicho kilichofanyikaWana ukamataji pia pale wanapokuwa na mashaka na msafiri then wana mkabidhi kwa mamlaka husika.
We are not shure maana mpaka sasa wanaotajwa ni polisi wenyewe, ngoja tuone outcomeBila shaka ndicho kilichofanyika
Inawezekana maana nyie wanawake mnajuanaWanasema haagi serikali anaposafiri madawa atakua anauza mama yako labda
Tuna jeshi la kijinga snOnly fools can understand this.
Halipi nauli kila siku anasema yeye staff😆😆😆Wakuu,
Ila Polisimpaka hata ni fezea kuanza kuwajibu! Hivi wanajiskiaje wakiandika huu upuuzi?
Uhamiaji wako wapi kufanya kazi yao? Na kipindi chote hiko walikuwa hawaoni kama anashida kwenye documents zake?
Asee Jeshi la Polisi sasa limekuwa kama tambara kwa wanasiasa, hii ni aibu sana! Tunaelekea wapi?
====
TAARIFA KWA UMMAJeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam linatoa taarifa kwa Umma kuwa tarehe 13/05/2025 majira ya saa 06:45 usiku katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere lango namba 03 (terminal 03) lilimkamata
KUKAMATWA KWA NAIBU KATIBU MKUU TANZANIA BARA WA
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
Amani Golugwa, Naibu Katibu Mkuu Tanzania Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akiwa katika maandalizi ya kusafiri kuelekea Brussels Nchini Ubelgiji.
Jeshi la Polisi lilimkamata Naibu Katibu Mkuu huyo kufuatia taarifa za siri kuwa amekuwa na mienendo ya kuondoka na kurudi Nchini bila kufuata
taratibu za kisheria hapa Nchini.
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam linaendelea na uchunguzi wa kina wa taarifa hizi kwa kushirikiana na Vyombo vingine vya Usalama kuhusu suala hilo.
Jeshi la Polisi linatoa wito kwa wananchi kuendelea kuwa watulivu wakati uchunguzi ukiendelea na kupuuza taarifa za upotoshaji kuhusu hatua hizi za kisheria zinazomhusu mtajwa
Imetolewa na;
Kaimu Kamanda wa Polisi
Kanda Maalum ya Dar es Salaam
View attachment 3332607
Pia soma Pre GE2025 - News Alert: - CHADEMA: Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa amekamatwa na Jeshi la Polisi usiku wa leo. Inadaiwa amepigwa sana
Labda anatangulizwa na bodaboda anaenda kupandia ndege mbele, kimsingi tuna polisi ya hovyo snKwahivyo wameshakuwa UHAMIAJI?