Polisi wasema wivu wa mapenzi chanzo mauaji ya watu 7 wa familia moja Kigoma

Polisi wasema wivu wa mapenzi chanzo mauaji ya watu 7 wa familia moja Kigoma

Kuna mmoja alilieta mazoea nikapiga nikasepa. Nikamchunia mpk leo na sijawahi kumtafuta huu ni mwaka sasa. Sitaki mazoea na wake za watu kabisa. Hawa kukua ni dakika 1 tu ushakufa.
Wake za watu siyo poa ila kutoa mbususu huwa hawajivungi na hubaniwi.
Mkihaidiana muda wa kupiga show, ni show siyo wale umpe nauli , umnunulie chips na umwagie nje
Kweli wake za watu watamu alafu no longo longo
 
Nasisitiza tena msaliti hapiganiwi.. mwanamke msaliti ni msaliti tu leo umeuwa huyu mwakani anamegwa na mwingine utamaliza kijiji kwa kumpigania mwizi suluhisho ni kudeal na huyo msaliti Ova...
 
yote haya yangeupukika kama jamaa asinge oa

Kataa ndoa
Ndoa ni kifo
 
Hizi taarifa za awali siziamini,kama ni polisi ndio wanasema hivi kuna walakini hapa,wameshindwa kufanya kazi wanakuja na taarifa za awali ili baadae ndio iwe imetoka hio.

Mtu unahisi anatembea na mkeo ndio uue familia nzima hadi watoto wadogo?halafu haohao polisi walisema waliofanya mauaji hayo sio mtu mmja,kuna shida hapa
acha ujinga basi.
 
Duuuuuuuuuuuuuu,huu ni zaidi ya wivu wa mapenzi,ni ushenzi uliopitiliza,wivu wa mapenzi uteketeze familia yoteee?
,hapa aiseeeee
 
Back
Top Bottom