Shida inaanzia pale. "Nitakuonyesha, wewe si unajifanya mjanja"
Kugongewa kuna uma sana zaidi ya msiba ndiyo maana kila mmoja anatoa maamuzi tofauti
1. Mwingine anajiua mwenyewe
2. Mwingine anamuacha
3. Mwingine anamsamehe wanarudiana
4. Mwingine hamuachi ila vitimbi vyake naye anaanza kutoka nje
5. Mwingine anamuua mkewe kwa kumpiga risasi au kumchoma na gunia la mkaa
6. Mwingine anakutafuta anakupiga mashine (wanakulawiti)
Tukishaoa, tutulie na familia zetu. Ona sasa ngono inaondoa familia yake yote.
Mpaka kufika hapo, nahisi jamaa alikanywa sana ila akawa viburi. Ndiyo matokeo yake hayo