Polisi wasema wivu wa mapenzi chanzo mauaji ya watu 7 wa familia moja Kigoma

Polisi wasema wivu wa mapenzi chanzo mauaji ya watu 7 wa familia moja Kigoma

hivi inakuwaje mtu mmoja aweze kuua watu wote hao bila msaada?? ila kama kweli ni mapenzi jamaa huyu anyongwee hadharanii watu waanze kutumia akilii kufanya maamuzi kwenye migogoro ya mapenzi... lakini pia nahisi ni mambo ya dhurumaa aisee maana duuh sio kwa huu unyamaa.
 
Kaz kazi, Serkali kichwani. Chepuka uchapike.
 
Hizi taarifa za awali siziamini,kama ni polisi ndio wanasema hivi kuna walakini hapa,wameshindwa kufanya kazi wanakuja na taarifa za awali ili baadae ndio iwe imetoka hio.

Mtu unahisi anatembea na mkeo ndio uue familia nzima hadi watoto wadogo?halafu haohao polisi walisema waliofanya mauaji hayo sio mtu mmja,kuna shida hapa
Wapuuzi nchi hii Kwa Sasa wako wengi wala sishangai. Kama Mtu alimuua Mtoto wa jirani kisa kamchumgulia anakunya kichakani utashangaa hili la ugoni? Baki Peke yako usiyeamini.
 
Kuna mmoja alilieta mazoea nikapiga nikasepa. Nikamchunia mpk leo na sijawahi kumtafuta huu ni mwaka sasa. Sitaki mazoea na wake za watu kabisa. Hawa kukua ni dakika 1 tu ushakufa.

Wake za watu siyo poa ila kutoa mbususu huwa hawajivungi na hubaniwi. Mkihaidiana muda wa kupiga show, ni show siyo wale umpe nauli , umnunulie chips na umwagie nje
Zhen de ma, na ge xingwei bu tai hao!
 
Uyo wa kujgeuzia chuma achana nae hana akili.
Sema huyu wa kigoma alimsahau mtu wa 8 Mkewe nae alipaswa aungane na familia ya Mchepuko uko Ahela.
pigo ni moja tu hapo huyo nyumbu msaliti katilia mbali.
 
Weee Peter ulifikiri unakata tofali siyo muone kwanza jingaa kabisa haya sasa utakiona cha moto.
 
Mi kilichonipa moyo katika hili sakata ni intelligensia ya wapelelezi. Naombeni niwape kongole.

Huwa nasifia sana usalama wa taifa la nchi yangu kwasababu nyingi tu. Ndani ya siku tatu kumjua muuaji kwakweli ni kitu cha kushukuru. Mauaji yameniuma mno.

Huyu sasa kazi ibaki mahakamani kwenye swala la upelelezi haujakamilika huko ndo kunachosha. Lakini kitendo cha kuua hadi bibi na wale watoto kisa kosa la mtu mmoja kimeniuma mno.

Haki itendeke
 
Damu nzito ndugu mtu huwa anaweweseka peke yake.
 
Back
Top Bottom