Polisi wasema wivu wa mapenzi chanzo mauaji ya watu 7 wa familia moja Kigoma

Kutembea watembee wawili kuua uue watu 7 na kumtoa mmoja kwanini asidili na hao wawili jinga kabisa
 
Nasisitiza tena msaliti hapiganiwi.. mwanamke msaliti ni msaliti tu leo umeuwa huyu mwakani anamegwa na mwingine utamaliza kijiji kwa kumpigania mwizi suluhisho ni kudeal na huyo msaliti Ova...
Hapo anaenda jela huku nje mkewe atakuta kaolewa
 
Warundi wanaroho ngumu sana,kuua mtu kwake ni sawa na kuua kuku...ndio mana kwao mauaji ya kimbari kila kukicha
 
Kovu huwa halifutiki mkuu,why alinicheat? Why? Mbona pesa ninayo na nilimpa? Why mwee,lakin kwann[emoji12]
Ila kwel, Lkn bado ugali na nyingi unazoacha ni tam zai kuliko majuto ya aibu.
 
Hapo namba 5 umekosa, si gunia la mkaa, bali ni ‘gunia mbili’ za mkaa, be specific mzee, maana gunia mbili ni tofauti ma gunia moja.
 

Binafsi nimeshikwa kigugumizi!!..
hailet sense kabisa
yawezekana polisi kesi imewashinda wameona bora wakomae na huyo jamaa kazi iishe!!…
Haileti sense
haileti sense
hailet sense
 
Nina mashaka na huu upelelezi, wanadai alikua peke yake na alitumia panga akafanimiwa kuua sita hapohapo, inamaana hao waliokuwa wakipigwa mapanga walikua hawapigi hata kelele hadi mtu aue wa kwanza hadi mtu wa sita? Unless wangesema wauaji walikua wengi wakafanya shambulio la ghafla
 
Hivi jamaa aliwezaje kuua watu wote hao peke yake?sijaielewa taarifa ya police
 
Akizungumza na Waandishi wa habari, Mkuu wa oparesheni na mafunzo wa Jeshi la Polisi Tanzania Kamishna Liberatus Sabas amesema mtuhukiwa Peter Moris amekamatwa Mjini Kigoma na wamejiridhisha kuwa mtuhumiwa ametekeleza mauaji hayo peke yake kwa kutumia panga na kwamba baada ya kumhoji amedai sababu ni marehemu January Mussa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mke wake.


Aliwezaje peke yake wakati wale watu walikuwa ktk nyumba tofauti? Ina maana wengine hawakusikia?
 
Yumkini kwa hesabu za haraka haraka ni mwendawazimu tu au mwana-ccm aliyekunywa maji ya bendera ataamini kwamba mtu mmoja anaweza kuuwa watu sita kwa kutumia panga!

Yaani kuanzia wa kwanza mpaka wa sita even wa saba asubiri kujeruhiwa Ila hakuna hata mmoja ktk hao anaekimbia wala kutafuta alternative ya kupambana na mtu mwenye panga,hii taarifa imekaa kama RPC anamdanganya mkewe amemkuta na condom mfukoni Ila yeye anamwambia hapana hiyo ni gloves za kushikia vithibiti vya watuhumiwa.
 
Enyi Waha njooni mjifunze Mkoa wa Tanga na haswa Wilaya ya Korogwe huku hawatumii Panga na kumwaga Damu Dawa ni "Usinga" tu inamaliza kazi.
 
Ila kwel, Lkn bado ugali na nyingi unazoacha ni tam zai kuliko majuto ya aibu.
Hakuna lolote bro,msaliti mpe talaka,usiue mwanaume mwenzio huko ni kukiri udhaifu afu unawaumiza wazazi waliozaa huyo uliyeua
 
Alafu wanasema wamejirizisha pasinashaka kuwa mtuhumiwa katenda alafu wana kwambia watamfkkisha mahakaman baada ya uchunguz kukamilika ,......hapa kuna assingment bado polisi wafanye wasije kukosea haki ha mtu
 
Umesahau kua sisi nikama kondoo.Hii damu yakitanganyika haiko aggresive kabisa.
 
Inawezekana walipiga kelele lakini hakuna jirani aliyetoka au kuchukua hatua.Watanganyika ni wazuri sana kwenye kuelezea tukio lilivyokua baada ya kutokea ila sio jinsi walivyoshiriki kuzuia tukio.Kuna matukio mengi yanafanyika uku majirani wakiwa wako pembeni wanaangalia tu hata kufanya uokoaji au kuita polisi hakuna wao ni nikusema "JAMANI"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…