Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo anaenda jela huku nje mkewe atakuta kaolewaNasisitiza tena msaliti hapiganiwi.. mwanamke msaliti ni msaliti tu leo umeuwa huyu mwakani anamegwa na mwingine utamaliza kijiji kwa kumpigania mwizi suluhisho ni kudeal na huyo msaliti Ova...
Huko ni kijijini na alikuwa kajipangaBado najiuliza aliwezaje kuua watu sita peke yake ktk vyumba tofauti
Warundi wanaroho ngumu sana,kuua mtu kwake ni sawa na kuua kuku...ndio mana kwao mauaji ya kimbari kila kukichaJeshi la polisi mkoani Kigoma linamshikilia mtuhumiwa wa mauaji ya watu sita (baadaye alifariki Mtoto hivyo idadi ya vifo kufika7) bwana Peter Morris (33) wakati upepelezi ukiendelea.
Taarifa za awali zinadai Peter Morris alikuwa akimtuhumu January Mussa (marehemu) kutembea na mke wake.
=====================
Akiri kuua watu saba Kigoma kisa wivu wa mapenzi
Jeshi la Polisi mkoani Kigoma limethibitisha kumkamata mkazi wa Mlole Manispaa ya Kigoma Ujiji Peter Moris ambaye ni fundi ujenzi akituhumiwa kwa mauaji ya watu saba wa familia moja katika kijiji cha Kiganza mkoani Kigoma yaliyotokea usiku wa kuamkia Jumapili iliyopita
Akizungumza na Waandishi wa habari, Mkuu wa oparesheni na mafunzo wa Jeshi la Polisi Tanzania Kamishna Liberatus Sabas amesema mtuhukiwa Peter Moris amekamatwa Mjini Kigoma na wamejiridhisha kuwa mtuhumiwa ametekeleza mauaji hayo peke yake kwa kutumia panga na kwamba baada ya kumhoji amedai sababu ni marehemu January Mussa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mke wake.
Aidha Kamishna Sabas amesema wananchi wametoa ushirikiano mkubwa kufanikisha kukamatwa kwake na atafikishwa mahakamani mara baada ya uchunguzi kukamilika ambapo pia ameeleza kuwa idadi ya waliokufa imeongezeka baada ya mtoto aliyejeruhiwa kufariki mkoani Morogoro wakati akiwa njiani kupelekwa Hospitali ya taifa ya muhimbili.
Kwa upande wake Mratibu wa kanda ya magharibi wa mtandao wa watetezi wa haki za Binadamu Tanzania THRDC Alex Luoga amelaani tukio hilo na kuitaka jamii kutumia njia sahihi na za kisheria kumaliza matatizo.
😘😘😘😘😘Mimi mwenyewe hapa nafanana na Panga,ole wake mtu amguse au amtamani my wangu-Sky Eclat 😁😁😁
View attachment 2282787
Ila kwel, Lkn bado ugali na nyingi unazoacha ni tam zai kuliko majuto ya aibu.Kovu huwa halifutiki mkuu,why alinicheat? Why? Mbona pesa ninayo na nilimpa? Why mwee,lakin kwann[emoji12]
Ndio, kwani lazima kutembea na wake za watu, khaaSasa ndo unasema niache wake za watu, nitake radhi
Hapo namba 5 umekosa, si gunia la mkaa, bali ni ‘gunia mbili’ za mkaa, be specific mzee, maana gunia mbili ni tofauti ma gunia moja.Shida inaanzia pale. "Nitakuonyesha, wewe si unajifanya mjanja"
Kugongewa kuna uma sana zaidi ya msiba ndiyo maana kila mmoja anatoa maamuzi tofauti
1. Mwingine anajiua mwenyewe
2. Mwingine anamuacha
3. Mwingine anamsamehe wanarudiana
4. Mwingine hamuachi ila vitimbi vyake naye anaanza kutoka nje
5. Mwingine anamuua mkewe kwa kumpiga risasi au kumchoma na gunia la mkaa
6. Mwingine anakutafuta anakupiga mashine (wanakulawiti)
Tukishaoa, tutulie na familia zetu. Ona sasa ngono inaondoa familia yake yote.
Mpaka kufika hapo, nahisi jamaa alikanywa sana ila akawa kiburi. Ndiyo matokeo yake hayo
Jeshi la polisi mkoani Kigoma linamshikilia mtuhumiwa wa mauaji ya watu sita (baadaye alifariki Mtoto hivyo idadi ya vifo kufika7) bwana Peter Morris (33) wakati upepelezi ukiendelea.
Taarifa za awali zinadai Peter Morris alikuwa akimtuhumu January Mussa (marehemu) kutembea na mke wake.
=====================
Akiri kuua watu saba Kigoma kisa wivu wa mapenzi
Jeshi la Polisi mkoani Kigoma limethibitisha kumkamata mkazi wa Mlole Manispaa ya Kigoma Ujiji Peter Moris ambaye ni fundi ujenzi akituhumiwa kwa mauaji ya watu saba wa familia moja katika kijiji cha Kiganza mkoani Kigoma yaliyotokea usiku wa kuamkia Jumapili iliyopita
Akizungumza na Waandishi wa habari, Mkuu wa oparesheni na mafunzo wa Jeshi la Polisi Tanzania Kamishna Liberatus Sabas amesema mtuhukiwa Peter Moris amekamatwa Mjini Kigoma na wamejiridhisha kuwa mtuhumiwa ametekeleza mauaji hayo peke yake kwa kutumia panga na kwamba baada ya kumhoji amedai sababu ni marehemu January Mussa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mke wake.
Aidha Kamishna Sabas amesema wananchi wametoa ushirikiano mkubwa kufanikisha kukamatwa kwake na atafikishwa mahakamani mara baada ya uchunguzi kukamilika ambapo pia ameeleza kuwa idadi ya waliokufa imeongezeka baada ya mtoto aliyejeruhiwa kufariki mkoani Morogoro wakati akiwa njiani kupelekwa Hospitali ya taifa ya muhimbili.
Kwa upande wake Mratibu wa kanda ya magharibi wa mtandao wa watetezi wa haki za Binadamu Tanzania THRDC Alex Luoga amelaani tukio hilo na kuitaka jamii kutumia njia sahihi na za kisheria kumaliza matatizo.
Yumkini kwa hesabu za haraka haraka ni mwendawazimu tu au mwana-ccm aliyekunywa maji ya bendera ataamini kwamba mtu mmoja anaweza kuuwa watu sita kwa kutumia panga!Hizi taarifa za awali siziamini,kama ni polisi ndio wanasema hivi kuna walakini hapa,wameshindwa kufanya kazi wanakuja na taarifa za awali ili baadae ndio iwe imetoka hio.
Mtu unahisi anatembea na mkeo ndio uue familia nzima hadi watoto wadogo?halafu haohao polisi walisema waliofanya mauaji hayo sio mtu mmja,kuna shida hapa
Hakuna lolote bro,msaliti mpe talaka,usiue mwanaume mwenzio huko ni kukiri udhaifu afu unawaumiza wazazi waliozaa huyo uliyeuaIla kwel, Lkn bado ugali na nyingi unazoacha ni tam zai kuliko majuto ya aibu.
Alafu wanasema wamejirizisha pasinashaka kuwa mtuhumiwa katenda alafu wana kwambia watamfkkisha mahakaman baada ya uchunguz kukamilika ,......hapa kuna assingment bado polisi wafanye wasije kukosea haki ha mtuHizi taarifa za awali siziamini,kama ni polisi ndio wanasema hivi kuna walakini hapa,wameshindwa kufanya kazi wanakuja na taarifa za awali ili baadae ndio iwe imetoka hio.
Mtu unahisi anatembea na mkeo ndio uue familia nzima hadi watoto wadogo?halafu haohao polisi walisema waliofanya mauaji hayo sio mtu mmja,kuna shida hapa
Umesahau kua sisi nikama kondoo.Hii damu yakitanganyika haiko aggresive kabisa.Akizungumza na Waandishi wa habari, Mkuu wa oparesheni na mafunzo wa Jeshi la Polisi Tanzania Kamishna Liberatus Sabas amesema mtuhukiwa Peter Moris amekamatwa Mjini Kigoma na wamejiridhisha kuwa mtuhumiwa ametekeleza mauaji hayo peke yake kwa kutumia panga na kwamba baada ya kumhoji amedai sababu ni marehemu January Mussa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mke wake.
Aliwezaje peke yake wakati wale watu walikuwa ktk nyumba tofauti? Ina maana wengine hawakusikia?
Inawezekana walipiga kelele lakini hakuna jirani aliyetoka au kuchukua hatua.Watanganyika ni wazuri sana kwenye kuelezea tukio lilivyokua baada ya kutokea ila sio jinsi walivyoshiriki kuzuia tukio.Kuna matukio mengi yanafanyika uku majirani wakiwa wako pembeni wanaangalia tu hata kufanya uokoaji au kuita polisi hakuna wao ni nikusema "JAMANI"Nina mashaka na huu upelelezi, wanadai alikua peke yake na alitumia panga akafanimiwa kuua sita hapohapo, inamaana hao waliokuwa wakipigwa mapanga walikua hawapigi hata kelele hadi mtu aue wa kwanza hadi mtu wa sita? Unless wangesema wauaji walikua wengi wakafanya shambulio la ghafla