Polisi watatu wafungwa miaka 20 jela kwa Rushwa

Magufuli ameingiaje hapo kama siyo ujinga wako wewe. Kosa wametenda march 19 ,2021 Magufuli alituaga march 17. Wewe ni mjinga na shetani anayeishi .
 
Maana yake walizoeshwa kubambikia watu kesi kitu ambacho boss wao alikuwa anahusudu sana.

Umesahau Magufuli aliruhusu rushwa hadharani aliposema askari wa usalama barabarani wachukue hela kwa madereva kwa ajili ya ku brashia viatu?

Huoni huko ni kuhalalisha rushwa?
 
Marehemu aliwazoesha kufanya dhuluma ndiyo maana wakawa wanaishi kwenye kivuli chake.
 
Unauliza ngozi ya fisi kwa mganga
 
Bado Bashite. Sabaya naye ni vile tu kutakuwa kuna nguvu kutoka juu itakuwa imetumika kumchomoa. Maana alishakula tayari mvua zake 30.
 
Sema enzi za Magu walizidi sana mpaka baadhi ya Wakuu wa Wilaya wakawa wanatembea na kikosi kazi eti wanakagua EFD mashine leo hii wanatembea kwa kujifichaficha hawa Vima watakata Rufaa watatoka kwa rufaa si unajua Nchi yetu..
 
Ok fine, tuondoe hiyo 21 tuweke 19, kuna kingine chochote kinachobadilika kwenye mantiki kuwa Magufuli alifariki tarehe 17 March?

Uzi wa mleta mada hauna maana hata kama nilikosea kuweka tarehe sahihi. Magufuli alikuwa ameshafariki wakati wa tukio la uporaji wa hao polisi.

Suala la uporaji ni tabia ya wahusika, wala sio kutumwa na mtu kama mnavyotaka kulazimisha iwe, kwasababu kama wangekuwa wanatumwa, basi wangeacha kwenda baada ya kifo cha Magufuli.

Wezi wasitetewe kwa kumtoa kafara Magufuli, hiyo ni tabia ya mtu personally, hivyo sioni sababu ya kutumia jina la Magufuli kwenye huu uzi zaidi ya chuki binafsi, sijakurupuka popote.

Sijui una ushahidi gani Magufuli alikuja kuwafundisha hao wezi tabia zao, na wala sio walikuwa nazo kabla ndio maana wakaendelea nazo hata baada ya kifo chake, mjifunze kutafakari kwa kina.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Walitembea na upepo wa marehemu Pana watu Wana asili ya roho mbaya TU Hadi kesho hata maofisini wamejaa ujioo wa jiwe uliamsha roho zao
 
enzi za shujaa
 
Walitembea na upepo wa marehemu Pana watu Wana asili ya roho mbaya TU Hadi kesho hata maofisini wamejaa ujioo wa jiwe uliamsha roho zao
Atleast wewe umeiweka vizuri, wengine wana mihemko tu, wanalazimisha ionekane Magufuli ndio alikuja kuwafundisha wizi hao jamaa, ushabiki tu.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Mada haijasema magufuli aliwatuma. Imesema walifanya kile ambacho magufuli alikuwa anaependa (aliwazoeza). Soma kwa makini.
 
Unaitwa mfumo usio rasmi
 
This was robbery sio rushwa hiyo
 
Mada haijasema magufuli aliwatuma. Imesema walifanya kile ambacho magufuli alikuwa anaependa (aliwazoeza). Soma kwa makini.
Unaweza kuniambia kwanini limetumika jina la Magufuli hapo kwenye hiyo mada, hata baada ya kifo chake?

Lini na wapi Magufuli aliwahi kuwaambia anapenda wizi?

Chuki inapofusha uwezo wa kifikra.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Kitu kibaya ni kwamba kesi za jinai kama hizi huwa haziwahusu kabisa viongozi na watu maarufu kama vile Chenge, Sabaya wote Sn & Jr, Bashite, Gekul, Kingai, Siro, n.k.
 
Hiyo ilikuwa ndio staili ya polisi kipindi cha Magufuli, walikuwa bado wapo kwennye legacy yake, kabla Samia hajaapishwa
Polisi siku zote wako hivyo usijaribu kuwa sanitize kwa kuonyesha wapo huvyo kwa Zama fulani.

Huu ni unafiki.
 
Magufuli amefariki tarehe 17 March 2021 kosa limefanyika Tarehe 19 March 2021 pia Taarifa inatoka KANDA iliyomchukia Hayati maana yake nini Chuki ni mbaya sana kikomaa hufakaranisha umoja wa kitaifa.Tuacheni chuki sisi sote ni Watanzania.
Sio kanda ilmchukia magufuli. Magufuli ndiye aliichukia hiyo kanda. Hata alisema wasubiri kwanza/wasahau kwa vile wamechagua wapinzani.
 
Kwa hiyo yule Mmeru aliyetaka kumuua mumewe kwa kumkodea majambazi ametumwa na Samia…?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…