Mapenzi yanapofusha uwezo wa kufikiri.Chuki inapofusha uwezo wa kifikra.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapenzi yanapofusha uwezo wa kufikiri.Chuki inapofusha uwezo wa kifikra.
Wewe ni mjinga sana. Ni sawa na kusema mbowe ni gaidi na muuza madawa ya kulevya ni sawa?????? Hizi siasa zenu za kijinga za kuamini kila kinachozushwa iko siku mtakoma. Ndiyo maana mbowe tunamuita gaidi na mbowe ukweli siyo gaidi ila kwa sababu ya ujinga wenu wa kuendekeza siasa za kuzushiana hata sisi viwanda vya kupika majungu na uongo vipi vingi. Na tunaposema lisu ni shoga anagongwa makalioni wala siyo kweli ila kwa sababu nini ni wajinga tutaendelea kusema hivyo hivyo na kuzusha kila aina ya uongo ili lisu aonekane analawitiwaMwendazake alikuwa zaidi ya dikteta sijui hali ingekuwaje kama bado angekuwepo
Hiyo ni tabia tu ya polisiHiyo ilikuwa ndio staili ya polisi kipindi cha Magufuli, walikuwa bado wapo kwennye legacy yake, kabla Samia hajaapishwa
Huyo mzee baada ya kuvamiwaMtu kuitwa PROFESA sio jambo dogo inamaana ana watu wengi waliopitia mikononi mwake
Na hawawezi kubadilika hawaPolisi Ni shida nchi hi, wanaaibisha Sana majeshi yetu.
Miaka nenda rudi polisi wanabambikia watu kesiHalafu Issue za kubambikia kesi zimeanza awamu ya tano ?
Magufuli ni kama alikuwa akiwa embolden, akiwapa ujasiri polisi kufanya uhalifuUnaweza kuniambia kwanini limetumika jina la Magufuli hapo kwenye hiyo mada, hata baada ya kifo chake?
Lini na wapi Magufuli aliwahi kuwaambia anapenda wizi?
Chuki inapofusha uwezo wa kifikra.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
rushwa au ujambazi?Askari hawa walikuwa wakifanya mambo aliyokuwa anayependa Magufuli kipindi chake . ================================================= View attachment 2864210
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imewahukumu Askari Polisi watatu wa zamani wa Jeshi hilo Mkoa wa Arusha ( Inspekta Hillary Ferdinand Komba, Bartholomeo Augustine Maya na PC Apornary Proches Burretta ) kifungo cha miaka 20 kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya matumizi mabaya ya madaraka.
Kosa lao hilo la matumizi mabaya ya madaraka walilifanya tarehe 19 March 2021 walipokwenda nyumbani kwa Profesa Justin Maeda Wilayani Arumeru, Arusha na kufanya upekuzi pasipo kufuata utaratibu kisha kutumia nguvu na kumchukua Profesa huyo hadi kwenye Benki mbili pamoja duka lake moja la vifaa vya ujenzi walikomlazimisha atoe pesa ( anazodai ni milioni 100) na kuwapatia ili wasimfikishe kwenye vyombo vya sheria wakimtuhumu kujihusisha na biashara haramu ya meno ya tembo na ngozi ya chui.
Profesa Maeda kwenye mahojiano ya @AyoTV_ April 2021 alisema Askari hao walimtaka awape kiasi hicho cha pesa lasivyo atashtakiwa kwa uhujumu uchumi na walimtisha kuwa jela inamuhusu, kitisho ambacho kilimfanya awape pesa hiyo harakaharaka ili kuepuka kupelekwa mahabusu au jela akihofia hali yake mbaya ya kiafya aliyokuwa nayo wakati huo.
Japokuwa Profesa Maeda alidai kuwapa Askari hao milioni 100 kwa tuhuma hizo alizodai ni za uongo, Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha ikitoa hukumu kwa Askari hao leo imesema kiwango cha pesa walichokichukua kwa Profesa huyo ni shilingi milioni 73.
Sakata hili la Askari hao watatu liligundulika kwenye Vyombo vya dola baada ya Profesa Maeda ( pichani kulia) kujitokeza na kufikisha malalamiko yake kwa Vyombo hivyo ikiwemo TAKUKURU na Jeshi la Polisi ambalo baada ya uchunguzi wake liliamua kuwafukuza kazi Askari hao mwezi mmoja baadae. #MillardAyoMAHAKAMANI
Sio Kigogo mtoto wake ana misimamo ya Putin..Kilichomsaidia profesa itakua ana connection na kigogo serikalini la sivyo ndio alikua anaenda na maji kwa kesi ya kusingiziwa,wengi sana wamebambikiwa kesi kama hizo kwa maslahi ya polisi wasio waaminifu
Wewe k*Ma nini?? Ms*nge nini? Mwana har*mu nini? Unanitukana unanijua vizuri? Ukinijibu hayo maswali ndipo nitajua namna nzuri ya kushughulika na weweWewe ni mjinga sana. Ni sawa na kusema mbowe ni gaidi na muuza madawa ya kulevya ni sawa?????? Hizi siasa zenu za kijinga za kuamini kila kinachozushwa iko siku mtakoma. Ndiyo maana mbowe tunamuita gaidi na mbowe ukweli siyo gaidi ila kwa sababu ya ujinga wenu wa kuendekeza siasa za kuzushiana hata sisi viwanda vya kupika majungu na uongo vipi vingi. Na tunaposema lisu ni shoga anagongwa makalioni wala siyo kweli ila kwa sababu nini ni wajinga tutaendelea kusema hivyo hivyo na kuzusha kila aina ya uongo ili lisu aonekane analawitiwa
umeonesha kiwango cha juu kabisa cha ukichaa/upungufu wa akili wako.Wewe k*Ma nini?? Ms*nge nini? Mwana har*mu nini? Unanitukana unanijua vizuri? Ukinijibu hayo maswali ndipo nitajua namna nzuri ya kushughulika na wewe
Wewe unaonyesha kiwango cha uhaya*ani kwa familia yako kuanzia kwa aliekuzaa mpaka mtoto yakoumeonesha kiwango cha juu kabisa cha ukichaa/upungufu wa akili wako.
Ili kulinda maslahi mapana zaidi ya umma, hawa Polisi walipaswa kunyongwa hadi kufa kwa kitendo chao hiki kibaya sana walichofanya ambacho ni sawasawa na kufanya uasi dhidi ya umma wa wa-Tanzania. Je, ni watu wangapi wameathirika kwa kufanyiwa uasi wa namna hii??Je, ni watu wangapi ambao tayari wamekufa au wapo jela kutokana na kubambikiwa makosa kwa mtindo huu????Askari hawa walikuwa wakifanya mambo aliyokuwa anayependa Magufuli kipindi chake . ================================================= View attachment 2864210
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imewahukumu Askari Polisi watatu wa zamani wa Jeshi hilo Mkoa wa Arusha ( Inspekta Hillary Ferdinand Komba, Bartholomeo Augustine Maya na PC Apornary Proches Burretta ) kifungo cha miaka 20 kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya matumizi mabaya ya madaraka.
Kosa lao hilo la matumizi mabaya ya madaraka walilifanya tarehe 19 March 2021 walipokwenda nyumbani kwa Profesa Justin Maeda Wilayani Arumeru, Arusha na kufanya upekuzi pasipo kufuata utaratibu kisha kutumia nguvu na kumchukua Profesa huyo hadi kwenye Benki mbili pamoja duka lake moja la vifaa vya ujenzi walikomlazimisha atoe pesa ( anazodai ni milioni 100) na kuwapatia ili wasimfikishe kwenye vyombo vya sheria wakimtuhumu kujihusisha na biashara haramu ya meno ya tembo na ngozi ya chui.
Profesa Maeda kwenye mahojiano ya @AyoTV_ April 2021 alisema Askari hao walimtaka awape kiasi hicho cha pesa lasivyo atashtakiwa kwa uhujumu uchumi na walimtisha kuwa jela inamuhusu, kitisho ambacho kilimfanya awape pesa hiyo harakaharaka ili kuepuka kupelekwa mahabusu au jela akihofia hali yake mbaya ya kiafya aliyokuwa nayo wakati huo.
Japokuwa Profesa Maeda alidai kuwapa Askari hao milioni 100 kwa tuhuma hizo alizodai ni za uongo, Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha ikitoa hukumu kwa Askari hao leo imesema kiwango cha pesa walichokichukua kwa Profesa huyo ni shilingi milioni 73.
Sakata hili la Askari hao watatu liligundulika kwenye Vyombo vya dola baada ya Profesa Maeda ( pichani kulia) kujitokeza na kufikisha malalamiko yake kwa Vyombo hivyo ikiwemo TAKUKURU na Jeshi la Polisi ambalo baada ya uchunguzi wake liliamua kuwafukuza kazi Askari hao mwezi mmoja baadae. #MillardAyoMAHAKAMANI
Nchi hii kama hauna back up hata kama una misimamo kama ya stallin au hittler unakwenda na maji,huyo profesa nasikia kuna mnene wa juu wa polisi ni mwanafunzi wakeSio Kigogo mtoto wake ana misimamo ya Putin..
Toka nchi ipate uhuru hakuna mtu wa hali ya chini ambaye akiingia kwenye target zao uwa anatendewa hakiWapo wanaosema kipindi cha Magufuli haki ilitamalaki nchini, hakukua na uonevu
Inawezekana maana huyu jamaa pia ana watu na ndie aliesema mzee wape pesa watazitema tuu na aliongeza pia kiasi cha pesa yaani Prof asiwe na back up kweli mazee hiyo inaingia akilini mbona wengine waliochukuliwa pesa hujawasikia kama sio misimamo ya mtu mmoja mmoja unadhani hilo jino la pembe na ngozi ya Chui ilitupwa kwenye shamba moja tuu..Nchi hii kama hauna back up hata kama una misimamo kama ya stallin au hittler unakwenda na maji,huyo profesa nasikia kuna mnene wa juu wa polisi ni mwanafunzi wake
Hii habari nakumbuka kuisoma. Ila kesi imechukuwa muda mrefu sana sijui ni kwa nini wakati ushahidi ulikuwa wazi.Walitakiwa wapate Mvua 30 na kuendelea kitendo cha kwenda kutupa kipande cha Jino la Tembo kwenye shamba lake ni kosa kubwa sana na je hao Polisi kupatikana na Jino la Tembo sio kosa walilipata wapi mpaka kulitumia mbona kama kesi imefunikwafunikwa majani...
Ok fine, tuondoe hiyo 21 tuweke 19, kuna kingine chochote kinachobadilika kwenye mantiki kuwa Magufuli alifariki tarehe 17 March?
Uzi wa mleta mada hauna maana hata kama nilikosea kuweka tarehe sahihi. Magufuli alikuwa ameshafariki wakati wa tukio la uporaji wa hao polisi.
Suala la uporaji ni tabia ya wahusika, wala sio kutumwa na mtu kama mnavyotaka kulazimisha iwe, kwasababu kama wangekuwa wanatumwa, basi wangeacha kwenda baada ya kifo cha Magufuli.
Wezi wasitetewe kwa kumtoa kafara Magufuli, hiyo ni tabia ya mtu personally, hivyo sioni sababu ya kutumia jina la Magufuli kwenye huu uzi zaidi ya chuki binafsi, sijakurupuka popote.
Sijui una ushahidi gani Magufuli alikuja kuwafundisha hao wezi tabia zao, na wala sio walikuwa nazo kabla ndio maana wakaendelea nazo hata baada ya kifo chake, mjifunze kutafakari kwa kina.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app