Polisi watatu wafungwa miaka 20 jela kwa Rushwa

Mwendazake alikuwa zaidi ya dikteta sijui hali ingekuwaje kama bado angekuwepo
Wewe ni mjinga sana. Ni sawa na kusema mbowe ni gaidi na muuza madawa ya kulevya ni sawa?????? Hizi siasa zenu za kijinga za kuamini kila kinachozushwa iko siku mtakoma. Ndiyo maana mbowe tunamuita gaidi na mbowe ukweli siyo gaidi ila kwa sababu ya ujinga wenu wa kuendekeza siasa za kuzushiana hata sisi viwanda vya kupika majungu na uongo vipi vingi. Na tunaposema lisu ni shoga anagongwa makalioni wala siyo kweli ila kwa sababu nini ni wajinga tutaendelea kusema hivyo hivyo na kuzusha kila aina ya uongo ili lisu aonekane analawitiwa
 
Hiyo ilikuwa ndio staili ya polisi kipindi cha Magufuli, walikuwa bado wapo kwennye legacy yake, kabla Samia hajaapishwa
Hiyo ni tabia tu ya polisi
Tuache kumsingizia maguful
Yeye hakuwatuma
Polisi ambao wana asili ya uhalifu,upeo mdogo, tamaa
Wamejaa humo kwenye jeshi la polisi

Ova
 
Mtu kuitwa PROFESA sio jambo dogo inamaana ana watu wengi waliopitia mikononi mwake
Huyo mzee baada ya kuvamiwa
Ilibidi apige sim 1,2,3 [emoji1]
Vp mbona sielewi,maana inaelekea
Wale polisi walipewa mtonyo kuwa yule mzee Ana vijisenti sasa wakataka kumtingisha
Kumbe walingia sehemu siyo

Ova
 
Unaweza kuniambia kwanini limetumika jina la Magufuli hapo kwenye hiyo mada, hata baada ya kifo chake?

Lini na wapi Magufuli aliwahi kuwaambia anapenda wizi?

Chuki inapofusha uwezo wa kifikra.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Magufuli ni kama alikuwa akiwa embolden, akiwapa ujasiri polisi kufanya uhalifu
Kwenye hotuba zake nyingi tu alikuwa akisikia akiwaambia polisi kupiga, na hata kuua watuhumiwa
 
rushwa au ujambazi?
 
Wewe k*Ma nini?? Ms*nge nini? Mwana har*mu nini? Unanitukana unanijua vizuri? Ukinijibu hayo maswali ndipo nitajua namna nzuri ya kushughulika na wewe
 
sasa marehemu JPM hapo anaingiaje?

Hayo walifanya kwa utashi wao sio amri ya mamlaka na tabia hiyo ipo sana miongoni mwa polisi wetu, sasa baada ya kuisisitiza serikali iwe macho juu ya polisi wanaobambikizia watu kesi kwa maslahi binafsi tunaanza kupambana na Marehemu.
 
Ili kulinda maslahi mapana zaidi ya umma, hawa Polisi walipaswa kunyongwa hadi kufa kwa kitendo chao hiki kibaya sana walichofanya ambacho ni sawasawa na kufanya uasi dhidi ya umma wa wa-Tanzania. Je, ni watu wangapi wameathirika kwa kufanyiwa uasi wa namna hii??Je, ni watu wangapi ambao tayari wamekufa au wapo jela kutokana na kubambikiwa makosa kwa mtindo huu????
Ili kurudisha Imani ya umma dhidi ya Jeshi la Polisi na ili kujenga nidhamu kwa Askari Polisi, maafisa ambao wamekuwa wakijihusisha na makosa makubwa kama haya wanapaswa kunyongwa.
Mwisho, huyu muathirika katika kesi hii (i.e. Prif. Maeda) anapaswa kulipwa fidia na Serikali kutokana na madhila haya makubwa aliyopata.
 
Nchi hii kama hauna back up hata kama una misimamo kama ya stallin au hittler unakwenda na maji,huyo profesa nasikia kuna mnene wa juu wa polisi ni mwanafunzi wake
Inawezekana maana huyu jamaa pia ana watu na ndie aliesema mzee wape pesa watazitema tuu na aliongeza pia kiasi cha pesa yaani Prof asiwe na back up kweli mazee hiyo inaingia akilini mbona wengine waliochukuliwa pesa hujawasikia kama sio misimamo ya mtu mmoja mmoja unadhani hilo jino la pembe na ngozi ya Chui ilitupwa kwenye shamba moja tuu..
 
Hii habari nakumbuka kuisoma. Ila kesi imechukuwa muda mrefu sana sijui ni kwa nini wakati ushahidi ulikuwa wazi.
 

Wewe ndiye unayestahili kutafakari kwa kina.

Kama ungekuwa unatafakari kwa kina ungejiuliza:

1) Kwa nini matukio kama hayo ya kumkamata mtu ambaye ana hela yake benki, anatishwa na polisi na viongozi wateule wa Rais kubambikiwa kesi wasipowapa pesa, kisha analazimishwa na hao polisi na kusindikizwa mpaka benki, pesa inachukuliwa kwa uimamizi wa polisi, mteule wa Rais au Polisi wanaondoka na hiyo pesa, yalifanyika wakati wa utaeala wa Magufuli tu? Hayakuwahi kuwepo kabla wala baada yake. Imethibitika, alifanya hivyo Sabaya, na sasa hawa maafisa wa polisi.

2) Kwa nini, ni wakati wa utawala wa Magufuli pekee, watu wote waliodhihirika kumkosoa Rais au Serikali yake, ama waliuawa, ama walitekwa ama walishambuliwa kwa risasi, na kunusurika kwa kudra za mwenyezi Mungu?

3) Ni wakati gani, zaidi ya wakati wa uongozi wa Magufuli, kuliwahi kutokea miili ya watu inatupwa kwenye viroba kwenye fukwe za bahari na mito, siyo mtu mmoja na siyo mara moja, na Serikali inagoma kufanya uchunguzi?

Ni dhahiri kuwa hayati MAGUFULI, hata kama hakuwaamrisha wafanye hivyo, lakini binafsi hakuumizwa wala kusikitishwa na chochote pale ambapo wateule wake au watu ambao yeye anawatumia katika uongozi wake wa kikatili, wakiendeleza ukatili kwa watu wengine. Ni sawa na Mobutu Seseseko wa Zaire aliyewaambia askari kuwawanawezaje kumwomba yeye awaoongezee mshahara wakati amewapa bunduki, akimaanisha bunduki alizowapa zinaweza kutumika katika kuwapa pesa.

Tukubaliane jambo moja, Magufuli alikuwa mchapa kazi sana lakini alikuwa mtu KATILI SANA.

Magufuli kwenye assessment ya haraka:

1) Haki za binadamu 20%
2) Demokrasia 0%
3) Utawala wa sheria 10%
4) Uchapa kazi 80%
5) Ujasiri na kujiamini 80%

Marehemu alikuwa na tatizo kubwa sana kwenye kuheshimu haki za watu na demokrasia.

Ni dhahiri marehemu aliyapenda majitu katili kwenye utawala wake, ndiyo aliyapatia madaraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…