Pre GE2025 Polisi watoa kibali cha maandamano kwa CHADEMA. Wawasisitiza viongozi kuepuka vitendo vya uvunjifu wa amani

Pre GE2025 Polisi watoa kibali cha maandamano kwa CHADEMA. Wawasisitiza viongozi kuepuka vitendo vya uvunjifu wa amani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tatizo Watanzania wengi wanafiki hawatajitokeza kabisa.
Ila kwa uhakika yatakiwa wajitokeze wengi kupeleka ujumbe kuwa maisha hayako sawa
Mkuu kwa wenzetu walio vizuri kwa demokrasia maandamano ni kufikisha ujumbe hivyo hata wakiwa watu 10 tu wanatosha.

Ila kuwa wengi ni kupamba na kuongezea vionjo
 
Kama maandamano yataambata na kupinga kupanda kwa gharama za maisha , kutoa wakimbizi wanao shikiria nafasi za juu, ajira, umeme na mengine yanayouzi basi tutaandamana . Lakini lakini atuandamani kwa maslahi ya mbowe katu,
 
Tatizo Watanzania wengi wanafiki hawatajitokeza kabisa.
Ila kwa uhakika yatakiwa wajitokeze wengi kupeleka ujumbe kuwa maisha hayako sawa
Watanzania wengi wanashindwa kuona correlation kati ya maisha yao na siasa. Wengi wanadhani shida, raha, kipato majanga na kila kitu cha maisha yao ni mapenzi ya Mungu. Ni hivi: hata kama hawatajitokeza wengi lakini bado ni mwanzo mzuri. Yakifanyika na kumalizika kwa amani basi yatakuwa chachu nzuri sana kwa siku zijazo. Kupigania haki huchukuwa muda mara na majaribio mengi hasa kwa nchi yenye wananchi kama watanzania.
 
Katika hili niwapongeze Polisi, na pia nimpongeze mama Samia. Wamekuwa at least waungwana.
Tunapaswa nchi yetu ishike mwenendo huu. Maandamano ya kuikosoa serikali sio dhambi, ni haki na muhimu sana.
 
Kwa mara ya kwanza tokea dunia iumbwe, upinzani wa Tanzania unapata baraka za polisi kuandamana...
 
natamani marehemu magufuri yule rais wa wavivu(wanyonge) ajionee mama samia alivyo na chembe ya imani
 
Back
Top Bottom