evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
Katika hili kwa mbaaali naweza kuwamini Polisi kutokana na mwonekano wa yule Dogo aliyevaa tshirt nyeusi! Ki ukweli sijawahi ona polisi wa kiume akiwa na nywele ndefu! Sitaki ku-conclude kwamba hawapo lakini binafasi sijawahi kuwaona, na amini usiamini, polisi wanaongoza kwa u-smart. CHUNGUZA!
Tena sana.....zingatia mkewe sasa ni kama mjane wana watoto watatu na wa kwanza yupo kama darasa la pili hiviInasikitisha..
Mkingojea hao watekaji wakamatwe mtangojea sana. Hawa dawa yao ni ile aliyoitumia yule mfanyabiashara wa Musoma ZAKARIA aliyewafyatulia risasi na kuwaua walipotaka kumtekaPolisi wanatakiwa kutoa mwongozo wa namna ya ukamafaji waharifu.
Ili ikionekana Kuna ukamafaji wa namna nyingine basi mkamatwaji ajilinde kwa namna yoyote ile.
Na pia Polisi iwaambie wananchi kuwa kama kunatokea ukamatwaji wa aina nyingine basi wananchi wawachukulie hatua watakayo weza hao wakamataji.
Siasa zisiwe chanzo cha kutokana roho.
Unayemtetea ndiye kinara wa hizo mbangaView attachment 3151999
View attachment 3151998
View attachment 3152001
MODS MSIUNGANISHE MADA HII NA NYINGINE ZENYE MAUDHUI TOFAUTI!
Utendaji ulioonekana hivi karibuni katika "kumteka" au kumtia nguvuni mwananchi anayeitwa Tarimo huko Kiluvya, unatia mashaka makubwa juu ya weledi kiutendaji wa sehemu za jeshi letu la Polisi.
Polisi ni chombo kinachotakiwa kujiendesha kisheria kwa kutumia PGO-Police General Orders.
Kumtia nguvuni raia yeyote kuna utaratibu ulioelezwa kisheria katika PGO.
Sasa kwa kituko kilichoonekana hivi karibuni kinaifedhesha jeshi la Polisi, na zaidi ya hapo kinamfrdhehesha sana Mkuu wa Polisi nchini IGP Camillius Wambura.
Polisi wanaooperate kama hooligans wa Haiti, hii haileti picha nzuri mbele ya wananchi.
Kulikuwa na ulazima gani kutumia style ya kwa kweli kihuni, kama polisi walioenda kumu arrest, na wanajua kwamba huyu ni mhalifu, kwenda na arrest warrant, tafuta viongozi wa mtaa kwa ushahidi, kumweleza huyo Tarimo makosa yake, na mwisho kumpandisha Defender?
Nahisi kuna maafisa chini wa IGP wanamtengenezea zengwe kumuaibisha IGP aonekane hafai kwenye cheo chake.
All in All, jeshi la Polisi kwa vitendo kama hivi halionyeshi proffessionalism kazini, bali wanonekana kama hoologans!
Mimi simtetei mkuu, kwa vile kwa vyovyote vile lawama zote ni kwa IGP , kwa jeshi kuoperate kihuni na kukosa weledi.Unayemtetea ndiye kinara wa hizo mbanga
Wambura ni chinjachinja namba mojaMimi simtetei mkuu, kwa vile kwa vyovyote vile lawama zote ni kwa IGP , kwa jeshi kuoperate kihuni na kukosa weledi.
Maafisa wote wamefundishwa Moshi CCP.
Huku mitaani wanaoperate kama hooligans!
Ni aibu kubwa kwa IGP Wambura, maafisa wake kufanya kazi kihuni!Hii ni aibu sana kwakweli
View attachment 3151999
View attachment 3151998
View attachment 3152001
MODS MSIUNGANISHE MADA HII NA NYINGINE ZENYE MAUDHUI TOFAUTI!
Utendaji ulioonekana hivi karibuni katika "kumteka" au kumtia nguvuni mwananchi anayeitwa Tarimo huko Kiluvya, unatia mashaka makubwa juu ya weledi kiutendaji wa sehemu za jeshi letu la Polisi.
Polisi ni chombo kinachotakiwa kujiendesha kisheria kwa kutumia PGO-Police General Orders.
Kumtia nguvuni raia yeyote kuna utaratibu ulioelezwa kisheria katika PGO.
Sasa kwa kituko kilichoonekana hivi karibuni kinaifedhesha jeshi la Polisi, na zaidi ya hapo kinamfrdhehesha sana Mkuu wa Polisi nchini IGP Camillius Wambura.
Polisi wanaooperate kama hooligans wa Haiti, hii haileti picha nzuri mbele ya wananchi.
Kulikuwa na ulazima gani kutumia style ya kwa kweli kihuni, kama polisi walioenda kumu arrest, na wanajua kwamba huyu ni mhalifu, kwenda na arrest warrant, tafuta viongozi wa mtaa kwa ushahidi, kumweleza huyo Tarimo makosa yake, na mwisho kumpandisha Defender?
Nahisi kuna maafisa chini wa IGP wanamtengenezea zengwe kumuaibisha IGP aonekane hafai kwenye cheo chake.
All in All, jeshi la Polisi kwa vitendo kama hivi halionyeshi proffessionalism kazini, bali wanonekana kama hoologans!
Waziri na IGP wanatuchafulia chombo chetu waondoke. Maana hatua tunayofuata sasa ni jamii kukosa kukiamini chombo chao cha usalama. Hilo ni janga kubwa sana.Ni aibu kubwa kwa IGP Wambura, maafisa wake kufanya kazi kihuni!
Sina maana kwamba waliomteka Big ni polisi,lakin wapo polisi wenye tatoo,Rasta,Ndevu na nywele ndefu n.k inategemeana na kitengo.Katika hili kwa mbaaali naweza kuwamini Polisi kutokana na mwonekano wa yule Dogo aliyevaa tshirt nyeusi! Ki ukweli sijawahi ona polisi wa kiume akiwa na nywele ndefu! Sitaki ku-conclude kwamba hawapo lakini binafasi sijawahi kuwaona, na amini usiamini, polisi wanaongoza kwa u-smart. CHUNGUZA!