Polisi watoa tamko tukio la jaribio la utekaji Kiluvya, wasema uchunguzi umeanza toka aliporipoti Novemba 11, 2024

Katika hili kwa mbaaali naweza kuwamini Polisi kutokana na mwonekano wa yule Dogo aliyevaa tshirt nyeusi! Ki ukweli sijawahi ona polisi wa kiume akiwa na nywele ndefu! Sitaki ku-conclude kwamba hawapo lakini binafasi sijawahi kuwaona, na amini usiamini, polisi wanaongoza kwa u-smart. CHUNGUZA!

Wapo wengi ,wengine wana hadi rasta
 
Wanaharakati tayari Mungu kashawaonyesha nani hasa wanaoteka na kuua wapinzani wa serikali,sasa kazi kwenu kulifikisha mbali kwa wazungu ili hao watekaji/wasiojulikana wafikishwe kwenye vyombo vya sheria.

Hao ndiyo baadhi ya genge la waliomuua Kibao ,waliomteka sativa ,soka ,wasipochukuliwa hatua inabidi wananchi tujilinde wenyewe.
 
Polisi wanatakiwa kutoa mwongozo wa namna ya ukamafaji waharifu.
Ili ikionekana Kuna ukamafaji wa namna nyingine basi mkamatwaji ajilinde kwa namna yoyote ile.
Na pia Polisi iwaambie wananchi kuwa kama kunatokea ukamatwaji wa aina nyingine basi wananchi wawachukulie hatua watakayo weza hao wakamataji.
Siasa zisiwe chanzo cha kutokana roho.
Mkingojea hao watekaji wakamatwe mtangojea sana. Hawa dawa yao ni ile aliyoitumia yule mfanyabiashara wa Musoma ZAKARIA aliyewafyatulia risasi na kuwaua walipotaka kumteka
 
1731573660687.png

1731573624997.png

1731573695251.png

Utendaji ulioonekana hivi karibuni katika "kumteka" au kumtia nguvuni mwananchi anayeitwa Tarimo huko Kiluvya, unatia mashaka makubwa juu ya weledi kiutendaji wa sehemu za jeshi letu la Polisi.

Polisi ni chombo kinachotakiwa kujiendesha kisheria kwa kutumia PGO-Police General Orders.
Kumtia nguvuni raia yeyote kuna utaratibu ulioelezwa kisheria katika PGO.

Sasa kwa kituko kilichoonekana hivi karibuni kinaifedhesha jeshi la Polisi, na zaidi ya hapo kinamfedhehesha sana Mkuu wa Polisi nchini IGP Camillius Wambura.

Polisi wanaooperate kama hooligans wa Haiti, hii haileti picha nzuri mbele ya wananchi.

Kulikuwa na ulazima gani kutumia style ya kwa kweli kihuni, kama polisi walioenda kumu arrest, na wanajua kwamba huyu ni mhalifu, kwenda na arrest warrant, tafuta viongozi wa mtaa kwa ushahidi, kumweleza huyo Tarimo makosa yake, na mwisho kumpandisha Defender?

Nahisi kuna maafisa chini wa IGP wanamtengenezea zengwe kumuaibisha IGP aonekane hafai kwenye cheo chake.

All in All, jeshi la Polisi kwa vitendo kama hivi halionyeshi proffessionalism kazini, bali wanonekana kama hooligans!
 
View attachment 3151999
View attachment 3151998

View attachment 3152001

MODS MSIUNGANISHE MADA HII NA NYINGINE ZENYE MAUDHUI TOFAUTI!

Utendaji ulioonekana hivi karibuni katika "kumteka" au kumtia nguvuni mwananchi anayeitwa Tarimo huko Kiluvya, unatia mashaka makubwa juu ya weledi kiutendaji wa sehemu za jeshi letu la Polisi.

Polisi ni chombo kinachotakiwa kujiendesha kisheria kwa kutumia PGO-Police General Orders.
Kumtia nguvuni raia yeyote kuna utaratibu ulioelezwa kisheria katika PGO.

Sasa kwa kituko kilichoonekana hivi karibuni kinaifedhesha jeshi la Polisi, na zaidi ya hapo kinamfrdhehesha sana Mkuu wa Polisi nchini IGP Camillius Wambura.

Polisi wanaooperate kama hooligans wa Haiti, hii haileti picha nzuri mbele ya wananchi.

Kulikuwa na ulazima gani kutumia style ya kwa kweli kihuni, kama polisi walioenda kumu arrest, na wanajua kwamba huyu ni mhalifu, kwenda na arrest warrant, tafuta viongozi wa mtaa kwa ushahidi, kumweleza huyo Tarimo makosa yake, na mwisho kumpandisha Defender?

Nahisi kuna maafisa chini wa IGP wanamtengenezea zengwe kumuaibisha IGP aonekane hafai kwenye cheo chake.

All in All, jeshi la Polisi kwa vitendo kama hivi halionyeshi proffessionalism kazini, bali wanonekana kama hoologans!
Unayemtetea ndiye kinara wa hizo mbanga
 
Nimekusoma na kukuelewa. Hongera kwa kuanzisha uzi.
Niseme tu
Hili jeshi siyo la IGP hili jeshi ni la watanzania. Jeshi linapofanya vizuri, tunapata sifa watanzania woote. Na linapofanya mambo ya aibu. Aibu inakuja kwetu watanzania wote. Sasa kwa haya mambo ya aibu yanayotokea, ni wakati muafaka sasa kuanzia Waziri mwenye dhamana na jeshi letu la polisi pamoja na IGP wake wapishe. Maana tumechoka kupakwa matope kila kukicha na mambo yale yale. Hii ni nchi yenye watu wanaojitambua na utashi. Huwezi kututukana matusi ya mwilini kupitia chombo chetu adhimu jeshi la polisi halafu uendelee kuwepo ofisini. Utupishe, binafsi naona haya yanayotokea katika jeshi la polisi yanawafanya waonekane taasisi ya ajabu mbele ya jamii. Unakiua chombo chetu mahiri huku tukikuangalia. Hilo halikubaliki.
Nahitimisha.
 
Ni aibu kubwa kwa IGP Wambura, maafisa wake kufanya kazi kihuni!
Waziri na IGP wanatuchafulia chombo chetu waondoke. Maana hatua tunayofuata sasa ni jamii kukosa kukiamini chombo chao cha usalama. Hilo ni janga kubwa sana.

Tuitishe maandamano ya kulaani wale ambao wameazimia kukichafua na kukiua chombo chetu jeshi la polisi
 
Katika hili kwa mbaaali naweza kuwamini Polisi kutokana na mwonekano wa yule Dogo aliyevaa tshirt nyeusi! Ki ukweli sijawahi ona polisi wa kiume akiwa na nywele ndefu! Sitaki ku-conclude kwamba hawapo lakini binafasi sijawahi kuwaona, na amini usiamini, polisi wanaongoza kwa u-smart. CHUNGUZA!
Sina maana kwamba waliomteka Big ni polisi,lakin wapo polisi wenye tatoo,Rasta,Ndevu na nywele ndefu n.k inategemeana na kitengo.
 
Back
Top Bottom