Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,903
- Thread starter
-
- #141
Leo jumapili mikakati gani nyie jana hamkuvunja kule iringaUtamaduni wa uvunjifu wa amani kwa makusudi ndiyo gia ya angani ya UKAWA!!! Tukusanyike kupanga mikakati ya kimaendeleo na siyo kutafuta bifu na utawala.
Nani anapenda kuwa wa kwanza kuvunjika? Kama vipi nenda wewe kalianzishe sisi tunakuja kesho kukujoin.Polisi wawili tu wanafunzi wanawakimbia Watanzania nao tumezidi uoga
Kuna siku utalipa kwa MolaNani anapenda kuwa wa kwanza kuvunjika? Kama vipi nenda wewe kalianzishe sisi tunakuja kesho kukujoin.
Hongera polisi ili amani isivurugike.
Kuna siku utajuta. Amini yuko WaPo, Sadam yuko wapi etcwSerikali ipige marufuku na kuweka kanuni ngumu kwa Vyuo husika kutokukubali matawi ya Siasa Vyuoni kuanzishwa na Wanachuo wasijihusishe na siasa kabisa na ikigundulika wafukuzwe chuo. Hii italeta discipline na watazingatia masomo tu. Police Hongereni na msiwachekee hao nia yao ni kuivuruga jamii
Wewe siyo Mungu wa kuhukumu binadamu wenzako.Mwachie Mungu atafanya kazi yake kwa mda mwafaka.Hivi majitu mengine yanaendaga kanisani kufanya nini? Unakuta jitu eti nalo limejipanga kwenda kukomunika, unakomunika nini wakati wewe roho yako ni sawa na shetani? Bora watu wasiwe wanaenda makanisani aiseee!
Ndio maana hata rangi yetu ni nyeusi!Serikali ipige marufuku na kuweka kanuni ngumu kwa Vyuo husika kutokukubali matawi ya Siasa Vyuoni kuanzishwa na Wanachuo wasijihusishe na siasa kabisa na ikigundulika wafukuzwe chuo. Hii italeta discipline na watazingatia masomo tu. Police Hongereni na msiwachekee hao nia yao ni kuivuruga jamii kwa kuichonganisha na Serikali waliyoichagua wenyewe.
Ebu wahi lumumba ukachukue buku 2 kabla ofisi hazijafungwaVipi tena unaogopa kuingia kwenye uwanja wa mapambano nenda kamanda ukavunjwe miguu ndiyo ushujaa tutakuchangia pesa za miguu ya bandia.
Hana tu akili zenyewe huyohazikutoshi kabisa
Kwa kuwa hukusoma ndio maana unaongea mambo ya kichawiWaende kanisani wakamwombe mungu sio kuhitimu kwa ujinga wa kivyama
Ongea kiha tuNow the trouble about trying to make yourself stupider than you really are is that you very often succeed.
Hongera sana polisi, mahafali gani ya kisiasa, tumechoka kila jambo kulifanya la kisiasa, siasa zenyewe za wachumia tumbo! Mbowe umeuza CHADEMA yetu kwa mafisadi sasa unataka kuwauza na wahitimu wetu. Polisi onyesha uwezo wenu hapo.
"Mwanahabari Huru" wajua kinachoendelea katika siasa za nchi hii kuliko wengi kutokana na mabandiko yako humu jamvini. Wewe utakuwa mmoja wa watu wa kwanza kuikimbia nchi, amani ikivunjika. Endelea na bandiko zako za uchochezi.Leo jumapili mikakati gani nyie jana hamkuvunja kule iringa
Nimeishaenda tayari nimepewa buku 2 ns wewe nenda kwenye maandamano ukapambane na polisi ukipoteza maisha au kuvunjwa miguu makamanda watakusaidia kumlea mkeo.Ebu wahi lumumba ukachukue buku 2 kabla ofisi hazijafungwa
Ulaaniwe mileleNimeishaenda tayari nimepewa buku 2 ns wewe nenda kwenye maandamano ukapambane na polisi ukipoteza maisha au kuvunjwa miguu makamanda watakusaidia kumlea mkeo.
Mbona yapo maeneo ya kuoneshea uwezo jamani? Hao ni wananchi wenzetu sio amboni hapoHongera sana polisi, mahafali gani ya kisiasa, tumechoka kila jambo kulifanya la kisiasa, siasa zenyewe za wachumia tumbo! Mbowe umeuza CHADEMA yetu kwa mafisadi sasa unataka kuwauza na wahitimu wetu. Polisi onyesha uwezo wenu hapo.
Nimeishaenda tayari nimepewa buku 2 ns wewe nenda kwenye maandamano ukapambane na polisi ukipoteza maisha au kuvunjwa miguu makamanda watakusaidia kumlea mkeoEbu wahi lumumba ukachukue buku 2 kabla ofisi hazijafungwa
Mkuu hata wewe uwezi kujilinganisha na Mbowe au Mtei.