Kuna wakat binadam inabid umdispose kama amegeuka vampire vile ili kunusuru wengine! Kwa nia njema orodha ikipatkana mana wanajulikana wapunguzwe kabla, wakat na baada ya tukio.
Polisi iboreshe kitengo cha intelijensia ikibid kuwepo mfumo rahis wa kila raia kutoa alert na ikibid kuwepo informers wa kiraia wanaolipwa kwa siri kuleta taarifa nyeti. Nashaur kila ofis ya kata iwe na mgambo na silaha hata moja kubwa!
Hawa panya road wanaiba na kuharib kwa dharau sana. muda mrefu bila hofu tena mchana pengine! Kama kwenye lawless country uani!
Pia kamati ya ulinzi na usalama YA KIJIJI iongezewe maarifa kujua kila raia wake na maisha yake! Jukum la usalama wa kila mtu huanza na mwenyewe!
Tukubari tu nchi yetu haina uwezo kuwajaza polis kila point nchini. Wananchi tuwe na ushirikiano. Hasa wa taarifa.
Mtu anakunywa bia 6 kila siku na kuhonga juu lakin anaona tabu kulipa sh 2000 kwa mwez vijana wanaojitolea walinde mtaa!
Waafrica sijui kuna evolution hatujafikia!
....plan ya muda mrefu ni serkali kutimiza wajibu wake wa kutengeneza miundombinu ya vijana kupata ajira. Wana dhamana hiyo. Hawa vijana ni nguvu kaz inayohitaj kuidivert kwenye utendaji chanya.