Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Unazidi kukoroga. Ungekuwa unazungumzia mzizi wa tatizo kweli kweli ni lazima ungeona tatizo ni serikali imeshindwa kukidhi malengo ya uongozi. Nenda nchi zilizoendelea. Kiwango cha uhalifu wa namna hii kiko chini sana. Kwa nini? serikali zinakidhi malengo ya wananchi na siyo kwamba wazazi wa watoto huko wanajua zaidi kulea. Hata huko Oysterbay ulikosema siyo kweli kwamba wazazi wanajua zaidi kulea watoto bali ni uwezo wa wazazi kukidhi malengo ya watoto wao. Huko ''uswazi'' maisha yako rough kwa sababu ya kipato. Mtoto wa Masaki akimaliza darasa la saba anapelekwa shule, uswazi wazazi hawana namna, watoto wanalundika mitaani bila ajira wala kipato huku njaa inawaadhibu. Wataacha kuwa panya road? Hawana cha kupoteza.
Hakuna nchi isiyo na uhalifu Mkuu.
Niambie nchi gani hiyo ukienda hakuna uhalifu?
Vikundi vya kihuni vipo nchi karibia zote Duniani, hata hizo nchi kubwa unazozijua.