0ozg Tz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 4,155
- 11,168
Wapunguze mashariti ya kumiliki silaha,ili watu wenye uwezo wawe nazo mtaani kama zamani ambavyo tumekuta babu zetu wanamigobole
Panya rodi wataisha wenyewe,wakigundua watu wanalala na silaha ndani
Au vituo vya polisi vigawe silaha katika kila mtaa
Panya rodi wataisha wenyewe,wakigundua watu wanalala na silaha ndani
Au vituo vya polisi vigawe silaha katika kila mtaa