Kama hawatoshi ni lazima jamii ijiongeze kupitia ulinzi shirikishi.Kwa hiyo kama hawatoshi ni jukumu la nani kuwezesha watoshe? Hivi akili imefika mwisho kabisa kutatua suala hili?
Hawatoshi kulinda kila mtaa.Polisi na mgambo na kuna wale waliopewa kazi ya kuondoa wamachinga majukumu yao ni nini?
Kama tutapewa silaha niko tayari kujitoaWapunguze mashariti ya kumiliki silaha,ili watu wenye uwezo wawe nazo mtaani kama zamani ambavyo tumekuta babu zetu wanamigobole
Panya rodi wataisha wenyewe,wakigundua watu wanalala na silaha ndani
Au vituo vya polisi vigawe silaha katika kila mtaa
Kwenye maandamano ya upinzani siku zote ''polisi wanatosha na wako imara''.Kwa hiyo kama hawatoshi ni jukumu la nani kuwezesha watoshe? Hivi akili imefika mwisho kabisa kutatua suala hili?
Huwa nakerwa sana na viongozi wanochukulka vitu kirahisi sana kwasababj wao sio victim
Huyo jockate analala na makeup anaamka nayo hajui misoto ya uswazi anatoa majibu mepesi tu eti ulinzi shirikishi.
Jeshi lenye silaha lenye dhamana ya kulinda raia na mali zake leo hii linakabidhi majukumu hayo kwa wananchi
Hivi wanaelewa hao panya road wanatumia silaha zaidi ya panga?
Wanaelewa kuwa panya road miongoni mwao wanamiliki silaha za moto?
Wanaeleqa panya road wengi wamekuwa
inspired na matajiri kwa kupewa hizo silaha?
Fikiria huyo ni mwanajeshi anaongea hivyo yani anaona its okay wao kufanya hivyo as long as samia aonekane ndio sababu....na hajishughulishi kuzuia
Kama kweli unawapa hiyo task sungusungu at least uwape silaha za moto sio kuwashikisha virungu utafikiri wanawinda sungura kumbe ni msako wa kukabiliana na adui mwenye silaha ya moto
Polisi hawajashindwa na panya rodi ndiyo maana huibuka na kupoteaSimoni Siro je Polisi imekosa kabisa mbinu ya kudhibiti panya road na wahalifu wengine? Kama polisi imeshindwa hawa vijana wachache wasiokuwa na mafunzo vipi ishu ya ugaidi wataweza kweli?
DC TMK Joketi anataka wananchi waunde vikundi vya ulinzi shirikishi,sa kazi ya polisi ni nini? Kama wameshindwa basi agawe na silaha wananchi wajilinde.
Kuna hoja kuwa polisi hawatoshi kulinda mitaa yote,sa kama serikali imechukua hatua gani kama polisi hawatoshi? Wakati kuna migambo? Yani polisi walale nyumbani na mwisho wa mwezi apokee mshahara huku mlipa kodi akifanya kazi mchana na usiku akalinde?
Hili swala binafsi haliingii akilini sababu ndani ya miaka 6 ya Magufuli hatujawahi kusikia hivi vikundi vya kijinga. Kama Siro umeshindwa kazi jiuzulu tu.
Bado hayatoshi.Kwa akili yako unajua polisi wanalinda mitaa tu? Hakuna patrol? Magari yao yana kazi gani kama hayazunguki mitaa yote?
Hao wapinzani huandamana mchana kweupe na hawabebi silaha kama hao panya wanaopora kwa kushtukiza tena wakiwa wamejihamiKwenye maandamano ya upinzani siku zote ''polisi wanatosha na wako imara''.
Kuna vijana waliopitia Depo baada yakumaliza o-level pia wapo mtaani hawana ajira, nao unawazungumziaje? Kwa nini serikali isiwaajiri hawa vijana na kuwakabidhi gwanda kwa kodi zetu?Hawatoshi kulinda kila mtaa.
Upo sahihi, hili ni mpaka wenye nchi waamue, wakati mkisubiri hilo anzeni kujilinda wenyewe kupitia vikundi vya ulinzi.Kuna vijana waliopitia Depo baada yakumaliza o-level pia wapo mtaani hawana ajira, nao unawazungumziaje? Kwa nini serikali isiwaajiri hawa vijana na kuwakabidhi gwanda kwa kodi zetu?
Huyu DC yuko busy na mikopo Facebook sidhani kama ana ubunifu wowote kwenye suala la usalamaDC TMK Joketi anataka wananchi waunde vikundi vya ulinzi shirikishi,sa kazi ya polisi ni nini? Kama wameshindwa basi agawe na silaha wananchi wajilinde.
Huyu DC yuko busy na mikopo Facebook sidhani kama ana ubunifu wowote kwenye suala la usalamaDC TMK Joketi anataka wananchi waunde vikundi vya ulinzi shirikishi,sa kazi ya polisi ni nini? Kama wameshindwa basi agawe na silaha wananchi wajilinde.
Afazali ww umejibu kwa ushahid ulio uchi uchi, penhine jamaa alikuwa bado haja jiunga na JF auMkuu, wakati wadau wanaanzisha hizi nyuzi chini, JPM bado alikuwa waziri wa ujenzi au sio?
View attachment 2206813View attachment 2206812View attachment 2206811View attachment 2206810
Anadai kuwa walidhibitiwa na Magu ila kundi la saizi ndio hilo la machinga"Juzi hapo nimemsikia hadi manajeshi hapa mtaani mwenye nyota zake anasema hao panya road wamesababishwa na samia kwa kuzuia wamachinga"
Hii sio sahihi, panya road waliwahi jupiga matukio miaka ya 2015-2017 Je napo kulikuwa na zuio la machinga ?
Mwambie huyo mjeshi aavhe ulimbukeni, tabia za kihuni ni swala la psychology, mbona machinga wapo wana piga business as usually ....
Hoja iyo ni zaifu sana, kutamkwa na mtalaam wa ulinzi,..
Je, vikundi vya ulinzi vina mafunzo ya kukabiliana na wahalifu wanaotumia siraha za moto?Upo sahihi, hili ni mpaka wenye nchi waamue, wakati mkisubiri hilo anzeni kujilinda wenyewe kupitia vikundi vya ulinzi.
Aya wananchi tumeshindwa nakubali solution ni kumpa mwananchi la kulinda?Polisi hawajashindwa na panya rodi ndiyo maana huibuka na kupotea
Ingekua polisi wameshindwa na panya rodi basi hao panya rodi wangekua wametawala muda wote
Kama ni kushindwa kumeanzia kwetu sisi wananchi manake hao ni vijana wetu
Jifunze kushughulikia chanzo badala ya kuanza kutupia polisi zisizo na msingi.
Ulinzi na usalama wa nchi ni jukumu la kila mwananchi si la polisi peke yao.
Kabla ya kulaumu jiulize wewe umefanya nini kuhakikisha kua panya rodi na wengine kama hao hawatamalaki?
Una akili kama za watawala. Unajaribu ku-solve complex problem kwa kutoa jibu jepesi kabisa. Huna tofauti na yule mtawala wa Ufaransa aliyesema ''let them eat cake''.
Huyu jamaa analeta siasa za maji takaAnadai kuwa walidhibitiwa na Magu ila kundi la saizi ndio hilo la machinga