Polisi wenye silaha na mafunzo wameshindwa na Panya Road. Je, mwananchi ataweza?


Hakuna nchi isiyo na uhalifu Mkuu.

Niambie nchi gani hiyo ukienda hakuna uhalifu?

Vikundi vya kihuni vipo nchi karibia zote Duniani, hata hizo nchi kubwa unazozijua.
 

Sasa Kukidhi nahitaji ya watoto si ndio Malezi Bora?
Au wewe malezi Bora unayaeleza Kwa namna ipi?

Kushindwa kumhudumia mtoto ndio malezi duni yenyewe hayo Mkuu.

Biblia inasemaje?

1 Timotheo 5:8
Lakini mtu ye yote asiyewatunza walio wake, yaani, wale wa nyumbani mwake hasa, ameikana Imani, tena ni mbaya kuliko mtu asiyeamini.
 
Lakini wananchi wakipindi hicho angalau walitoa kipigo kwa baadhi yao lakini wasasa hawakumkamata hata mmoja!
Sasa kwa kuwa wananchi hawakumkamata basi SSH ndio chanzo ? Maana mtoa Uzi anasema wamesababishwa na SSH ...ifike mahala wa Tz tuache ulimbukeni
 
Ndiyo maana nikasema wewe unaangalia matawi ya tatizo ni soyo mizizi. Endelea kujiburudisha na mental masterbation!
 
Hao polisi wakianza kuchinja Vichwa vyao hao panya road tusije tukaanza kulia humu.
 
Sasa kwa kuwa wananchi hawakumkamata basi SSH ndio chanzo ? Maana mtoa Uzi anasema wamesababishwa na SSH ...ifike mahala wa Tz tuache ulimbukeni
Wapi nimesema
 
Hapana kazi ni lazima, ukichangia watalipwa hao vijana wa ulinzi shirikishi watakao kuwa wanalinda
Ikitokea nimeibiwa mali zangu hao ninaowalipa kulinda ,watanilipa fidia?? ,

Basi kama ni hivyo huku mitaani tuwape makampuni ya ulinzi walinde mitaa yetu ( na gharama inaweza kuwa ndogo kuliko za hawa wajumbe na wenye viti wa chama wanaopanga bei kubwa kubwa , maana wana bima , ukiibiwa watalipa fidia
 
Polisi PGO tu inawashinda seuze Panya road.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…