Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

Wale vijana akili hawana kabisa.Ilitakiwa walimalize kimyakimya.Wamelipwa 30000 watalipa kila elfu moja mwaka mmoja Mbwa wale.
 
Kinachonihuzunisha zaidi ni kusikia fununu kuwa wale vijana ni ama Polisi au wanatoka JWTZ.

Ni muda sasa majeshi yetu hayo mawili yajitenge na huo uovu kwa kuwakana au kuwakubali na kuwashughulikia kwa uwazi.
 
Kama kweli ni wanajeshi, Jeshi likiwaficha itakuwa ni aibu kuu!

Ili kujitenga huu ushenzi, ni muhimu mamlaka 'zikamtapika' mpaka huyo afande aliyewatuma.

Hatuwezi kuwa na watekelezaji wa sheria washenzi kiasi hiki.
sio askari ni machalii wahuni tu wa mtaani.
 
Kama kweli ni wanajeshi, Jeshi likiwaficha itakuwa ni aibu kuu!

Ili kujitenga huu ushenzi, ni muhimu mamlaka 'zikamtapika' mpaka huyo afande aliyewatuma.

Hatuwezi kuwa na watekelezaji wa sheria washenzi kiasi hiki.
Tatizo ni kuwa hapa bingo mtu akishakuwa askali anajiona answeza fanya lolote lile kama vile wakuu zake eanavyofanya
 
Kinachonihuzunisha zaidi ni kusikia fununu kuwa wale vijana ni ama Polisi au wanatoka JWTZ.

Ni muda sasa majeshi yetu hayo mawili yajitenge na huo uovu kwa kuwakana au kuwakubali na kuwashughulikia kwa uwazi.
tatizo kubwa ni elimu kwenye majeshi yetu mkuu.
Ni kweli kabisa.

Shida kubwa ni kwamba tuna Majeshi ambayo yanatumia nguvu nyingi zaidi kuliko akili au bila akili kabisa katika kutekeleza majukumu yake.

Tubadilike, tuanzishe Majeshi yanayohitaji matumizi makubwa zaidi ya akili kuliko nguvu.

Tuachane na mfumo mbovu wa Majeshi ya Kikomunisti/Ujamaa ambayo yanahitaji matumizi ya nguvu zaidi kuliko akili badala yake tuige mfumo wa Majeshi ya nchi za Kibepari ambayo huhitaji matumizi ya akili zaidi kuliko nguvu.

Video hapa chini ni ya Wanajeshi wa Jeshi la Nchi ya Korea ya Kaskazini wakiwa kwenye Maonyesho ya Siku ya Mashujaa wa Taifa lao.
 
Attachments

  • 5746963-e338a2cb928c14e768bc38b03ac69fee.mp4
    7.8 MB
🚮🚮🚮
 
Kinachonihuzunisha zaidi ni kusikia fununu kuwa wale vijana ni ama Polisi au wanatoka JWTZ.

Ni muda sasa majeshi yetu hayo mawili yajitenge na huo uovu kwa kuwakana au kuwakubali na kuwashughulikia kwa uwazi.
Hii issue inatakiwa kutolewa statement na jeshi.

Watu wametoa mpaka jina, namba ya simu, viongozi wa mtu jeshini alivyokuwepo. Ingawa kuna mtu alifukuzwa jeshini, tunahitaji statement kamili kutoka jeshini.
 
Ila alicho fanya yeye kutembea na Mume wa mtu ndio halali au sio 🤣🤣 mabinti wa dizaini io io ndio adhabu yao inayo wafaa kwasababu ndio kitu wakipendacho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…