Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

Muandaji party kama cio ***love czani.
 
Wa kulaumiwa ni huyo mwanaume. Kwanza kale kabinti kanaonekana ni kashamba na huenda huyo mume wa mtu alikadanganya hajao. Kiumri anaonekana ni mdogo sana.
tusipende unafiki , dunia ya vitoto vimeharibika kuanzia miaka 16 jiulize huyo ana mingap ? msichana mshamba ndo aende guest ? hatutoweza tatua haya bila kuacha unafiki wetu,
 
Hawa polisi si walsema kwamba hawafatilii(hawafanyii kazi) habari/taarifa za mitandaoni?
 
Ni ujinga wa kiwango cha lami. Badala kubdeal na mume unaenda ku deal na mwanamke mwanzako. Kazi hana, mume atamkosa na jela inamhusu. Wakati mwingine sijui watu wanafikiria kwa kutumia nini.
unafiki ndo ttzo lenu , hao watoto wanaacha watu single wanaenda dandia watu za watu , anapewa bajeti nzima na anaenda kumkejel mke wa jamaa

acha yamkute , hatutaweza yamaliza haya bila kuwepo mazingira ya kutisha kwao , date na mtu wa type yako animal wote na sio kudandia mafanikio ya watu
 
Sasa mfano kama yule wa Simiyu, yeye ni RC halafu anampiga mkwala mwanafunzi si anajikuta anakubali tuu! Kumbe anaenda fanyiwa yasiyofaa!
Hivyo kuwa mume wa mtu basi alaumiwe huyo mume
hayo maelezo yako yanajibu swali langu ? nmesema ni sahihi huyo Rc kutembea na huyo dada yako ?

KWANINI UTEMBEE NA MUME WA MTU ? simple question
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…