Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

Ndugu zangu salam

Kutokea tukio la binti kufanyiwa ukatili wa kingono na njemba zaidi ya wanne kumekua na makatazo mbali mbali na amri za kutisha zakutokuisambaza video iliyorekodiwa ikionyesha wahusika waliotekeleza unyama huo.

Vyombo mbali mbali vimeomba na kuombwa ushikikiano ili watu hao watiwe nguvuni .

Swali ni kwamba

1: Huku uraiani sisi wengine tunaoishi na ndugu jamaa na marafiki zaoau walikua marafiki zetu, tutajuaje wahusika ni hawa ili tuwachomeshe wakamatwe kama kuna katazo la kuendelea kuisamba hiyo video limetolewa?

2: Majeshi mengine na taasisi zingine za kiupelelezi zitajuaje kama wahusika ndo hawa ili baadhi ya askari watakao kutana nao katika mizunguko ya kimaisha wawatie nguvuni?

3: Tunajua walikua wanaenda kwenye nyumba za ibada, sehemu za huduma za kijamii, na kwenye mikusanyiko mbali mbali au sehemu za starehe, je, kama wametoa katazo ni vipi sisi raia / askari ambao hatujaona sura za wahusika tunaweza vipi kushirikiana kutoa taarifa au kuwatia nguvuni kuwa wa husika ni hawa ili hali kunakatazo limetolewa la kutokuendelea kusambaza ile video ya unyama uliofanyika?
Usiwaamini sana wanaposema tunaomba ushirikiano wako maana unaweza kujikuta matata ni bila kutegemea
 
Mkuu sorry umeandika kitu NON SENSE

Umeandika hoja tatu ili eti uoneshe ni sahihi Mamlaka kuruhusu hio Video ya uchi wa binadamu + udhalilishaji isambae.

Ni kwamba majeshi yote yameshindwa kuwaita nguvuni wahalifu sabab ya kutoruhusu Video

Hivi uko sawa kweli ??
Soma uelewe na soma maswali na ujijibu vyema . Sipo hapa kuhalalisha mamlaka ziruhusu video iendelee kusambazwa ila swali lipo wale ambao hawa wajui watajuaje wa husika ndo hawa ili wasaidie kutoa ushirikiano wa haraka hao jamaa watiwe nguvuni
 
There is no justification in cheating dearest, ukisema utafute chanzo wakati mwingine wala hutakipata, wanaume wameumbwa as polygamist in nature kwa hiyo hata uwe mwanamke perfect and a half bado watacheat sema its more painful anapokucheat wazi au ukagundua, nyumba inakua haina heshima, afanye tu huko ila anaporudi nyumbani kunakua na heshima

Kosa kubwa ni mwanamke kupigana na mchepuko wa mume,naona kama unazidi kujishushia heshima, ni busara kudeal with your huband and not his side chick. Na pia hakuna sababu ya kutoana toho au kutumiana wahuni,kama mtu unaona yamekushinda,leave the toxic marriage and start a new pag

There is no justification in cheating dearest, ukisema utafute chanzo wakati mwingine wala hutakipata, wanaume wameumbwa as polygamist in nature kwa hiyo hata uwe mwanamke perfect and a half bado watacheat sema its more painful anapokucheat wazi au ukagundua, nyumba inakua haina heshima, afanye tu huko ila anaporudi nyumbani kunakua na heshima

Kosa kubwa ni mwanamke kupigana na mchepuko wa mume,naona kama unazidi kujishushia heshima, ni busara kudeal with your huband and not his side chick. Na pia hakuna sababu ya kutoana toho au kutumiana wahuni,kama mtu unaona yamekushinda,leave the toxic marriage and start a new page
Ni kweli kabisa, ni ujinga ku deal na side chick, tatizo tunadhani ukishafunga ndoa una hati miliki ya mtu. Unakomaa na mahusiano ambayo unaona kabisa hakuna upendo matokeo yake ndio unafanya ujinga kama wa huyo mwanamke.
Cheating haitakaa iishe maana ilikuwepo toka dunia iubwe.
 
Nafikiria tu jinsi ambavyo wazo la mtu mmoja linavoenda kuwaponza watu wengi ndo maana in lazima kujiepusha kuwa na marafiki wasiofaa maishani mwetu,

Kati ya wale watano kuna mmoja alipewa taarifa na akaamua kuwashirikisha rafiki zake kwa sasa wapo katika majuto makubwa mno.
 
Jeshi la Polisi limesema limeona taarifa na clip kwenye mitandao ya Kijamii ya Mwanamke anayebakwa na Wanaume Watatu kwa wakati mmoja

Jeshi la Polisi limesema linafuatilia tukio hilo la kinyama na kuwataka Wananchi wenye taarifa za kufanikisha Watu hawa Kukamatwa mara Moja waziwasilishe polisi

Taarifa imetolewa na DCP Msiime
Msemaji wa Polisi

Pia soma

View attachment 3061184
Nao watabakwa wakiwa magerezani😡
 
Mkuu si useme hujaiona video unataka kutumiwa😁😁😁
Ila wahuni si washajulikana na mpaka aliyetoa kazi tumeshamjuaa...
 
Back
Top Bottom