Polisi yawachia kwa DHAMANA viongozi wakuu wa CHADEMA waliokamatwa akiwemo Heche

Next stop: Hawa watu wanaokubali hizi teuzi mpya hawayaoni yote haya?

How low can one stoop to realize they're being used and abused?
Watu wenye elimu ya kutosha kabisa, and beyond, Ph.Ds and more!

Hata historia tu pekee ya heshima iliyowahi kuwa nayo nchi hii; bado haitoshi kabisa kuwastua hawa watu kukumbuka utu wao ulipo?

Mimi ningependa kumtumia Dorothy Gwajima na huyo mwenzake sijui Kakurwa (Bashiru) picha kama hizi na nyinginezo iwe kumbukumbu katika utumishi wao wanaotarajia kuwafanyia waTanzania.

Hawa 'collaborators' inafaa waanze kulipia gharama ya kushirikiana na waovu.
 
R.I.P Tanzanian who died in 29 october.we tried so much but our efforts were in vain.But we are GEN-Z we want change in our country.we will not give up or surrender the revolution has already started and it has to be completed.

kijana acha shobo kwa lugha za kigeni
 
sio mda mrefu vijana wapumbavu wataanza kuwatukana viongozi wa CHadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…