Poll: Muammar Gaddafi Vs Nelson Mandela? Nani Shujaa/mwamba Wa Afrika?

Poll: Muammar Gaddafi Vs Nelson Mandela? Nani Shujaa/mwamba Wa Afrika?

Muammar Gaddafi vs Nelson Mandela? Nani shujaa/mwamba wa Afrika?

  • Total voters
    244
Hata Mwalimu alikuwa na mapungufu yake, hakuna asiyekuwa na mapungufu. Mbona huyohuyo Gadafi alikuwa akishutumiwa kuwaunga mkono makundi ya kigaidi mengi tu?

Binafsi kati ya Mandela na gadaffi naona Gadaffi ni shuja kabisa.
SI kweli hizo ni western propaganda tuu.
Mbona saiv NATO hawapaleke mishono libya kuzuia vurugu?
Now wametoa mwiba sasa wanajichotea mafuta tuu sijui waafrika tutasonga mbele lini.

Umeona maisha ya libya yalivyo sasa? Kwanini NATO wasiende kuweka amani huko wakati wao ndio wameharibu huko?
 
Amesaidia kujenga misikiti over, baba Mandela ni kiongozi bora kuwahi kutokea duniani hata wazungu wanakubali hilo.
Mkuu hivi ulishawahi isikia libya chini ya muamar? kama unaleta chuki za kidini sawa. Obama katika vitu anavyojutia na kukiri hadharani ni maamuzi ya kuvamiwa kwa libya, pia 50% ya bajeti ya AU alikuwa anatoa gadafi pia zile nchi zilizoshindwa kutoa michango kwa AU alizilipia
 
Mkuu mimi sina tatizo kabisa na Gadafi, tatizo langu ni kumlinganisha na Baba wa dunia mzee Madiba.
 
Kuwa RC sio kipimo cha akili/elimu wala upeo na sio sifa ya kunifananisha nayo.

Umenishangaza kwa kusema SA ina huduma bora za kijamii ukiilinganisha na Libya ya Gadaffi. Pia nimeendelea kusikitika kwa kusema Mandela hafananishwi na mtu yoyote duniani (refer to your foregoing posts) kisa busara,kupokea wakimbizi wa Somali na kusuluhisha migogoro kana kwamba Mandela ndio kiongozi wa kwanza kupokea wakimbizi, kusuluhisha migogoro na kupokea wakimbizi.

Kwa msaada tu wa taarifa Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazopokea sana wakimbizi hasa kutoka Congo, Burundi na Rwanda.Pia Nyerere ,Mkapa na Kikwete wamehusika sana kwenye usuluhishi wa migogoro.Kikwete kwa sasa anasuluhisha Libya na Mkapa Burundi. Haya yote ni mambo ya kawaida sana kidiplomasia.

Tunapowazungumzia Gaddafi na Mandela tunataka mtu uoneshe unique characters na mchango kwa Africa na waafrika na si kutuletea mambo ambayo ni so obvious kila mtu anaweza kufanya. Kwa mfano Nyerere kutumia resources za watanzania kwa ukombozi wa Africa, Gaddafi kutumia resources za walibya kwa waafrika na sio kutuletea habari za hekima ,busara na kupokea wakimbizi , vitu ambavyo kila nchi inafanya.
Ninaimani 100% hatakuelewa!!
Ametengenezwa kushabikia, sio kuelewa!
 
Mbona sisi tuliwaunga mkono waasi wa Biafra?
Jikite kwenye mada mkuu

..madai yangu ni kwamba Gadaffi aliuawa askari wetu wakati wa vita vya Kagera.

..na kwamba Mtanzania anayemuenzi Gadaffi hana uchungu na maisha ya wenzetu waliopoteza maisha wakipigana na majeshi ya Amin na Gaddafi.
 
Mkuu Gadafi zaidi ya kujenga misikiti kuna nini kingine amefanya kwenye nchi za watu? toa mfano wa huduma bora ambazo zipo Libya alafu S.A hazipo
1. Nyumba bora kwa kila mwanalibya. SA bado mamilioni ya watu wanaishi kwenye slum.

2. Kusomeshwa bure kwa kila mwanalibya. SA kila kitu ni kulipia.

3. Umeme wa bure kwa kila mwanalibya . SA unalipia kila kitu.

4. Apartments kwa kila graduate na kuozwa mke/Mme na utaanza kulipa rent ukipata ajira. SA hakuna hili.

5. Libya ilikuwa ikifadhili kwa pesa AU. SA haifanyi hivyo.

6. Libya ilikuwa inakopesha nchi za kiafrika bila riba na misaada ya kimaendeleo isiyo mikopo. SA haifanyi hivyo.

7. NK.
 
Ukisoma historia ya gaddafi utajua nini maana ya kiongozi!! mabeberu wa nchi za mangaribi ni watu hatari sana!!

Walibya hawatakaa wapate waliyoyapata kutoka kwa gadafi!! mpaka sasa Libya haijatulia!

Japo nimempigia kura gadaffi lakini hamna mtu anaweza itaja africa bila kuwataja mandela, nyerere, kwame nkuruma plus gadafi!!
 
Hao wote role Yao haijafikia ya Nyerere

Mandela kazi yake ilikuwa kukomboa Nchi yake, Hana role yoyote ya Ukombozi kwa nchi nyingine yoyote

Nyerere kalifanyia Mengi sana Bara la Africa hasa Kusini Mwa Jangwa la Sahara kilichomponza ni Umaskini wa Taifa lake ndio sababu hathaminiwi
 
1. Nyumba bora kwa kila mwanalibya. SA bado mamilioni ya watu wanaishi kwenye slum.

2. Kusomeahwa bure kwa kila mwanalibya. SA kila kitu ni kulipia.

3. Umeme wa bure kwa kila mwanalibya . SA unalipia kila kitu.

4. Apartments kwa kila graduate na kuzwa mke/Mme na utaanza kulipa rent ukipata ajira. SA hakuna hili.

5. Libya ilikuwa ikifadhili kwa pesa AU. SA haifanyi hivyo.

6. Libya ilikuwa inakopesha nchi za kiafrika bila riba na misaada ya kimaendeleo isiyo mikopo. SA haifanyi hivyo.

7. NK.
Hata USA hizo hadithi zako hazipo mkuu
 
Madiba na Hayati Nyerere naona ni kama mbingu na ardhi. Watu naona hamjui kuwa mpaka leo SA kuna ubaguzi, bado kuna mitaa ya ngozi nyeupe na nyeusi, nchi bado inatawaliwa na wazungu.

Madiba alivyotoka jera biashara yake iliishia hapo hapo, waliamua kumzawadia heshima tu ili atulia lakini kiutendaji, achana na Nyerere na Gadaffi.
Ukitioa harakat za kupigania uhuru na miaka 27 jela alipotoka na kuingia madarakani kapiga kazi gani kubwa?

Embu tuchambua kazi alizopiga gaddaf halaf ndo tuone nai jembe!
Kuna watu wamepiga kazi hili bara sema tuu hawajulikani. Kw akipindi kile nani alikua akitoa msaada wa wapigania uhuru kama nyerere? unazan mataifa ya ulaya yalikua yakifurahia harakat za nyerere?
Msumbiji, angola, namibia, south africa n.k zote zimepatiwa msaada wa kijeshi, kifedha nk kwa namna yeoyte ile kuhakikisha wanapata uhuru. Kambi kibao zilikwepo bongo we unazad wazungu hawakuliona hili? Ungekuta nyerere hajapinduliwa au kuuliwa kitambo kama akina sankara, patrice lumumba, samora macheli n.k?

Mkuu kuna watu wamepiga kazi yan sio mchezo sema tuu hawatendew haki.

Gaddaf alikua mwiko kuondoa ushenzi wa western neo-colonialism. Marais kibao wa wamarekan walikua wakimtaman sana gaddaf kama ronald regan, bush n.k bado ufaransa lakin aliondoa ushenzi wote wa hawa wezi Libya ikamiliki resource zote na ikakua sana kiuchumi.

R.I.P wandugu.
 
Mkuu Gadafi zaidi ya kujenga misikiti kuna nini kingine amefanya kwenye nchi za watu? toa mfano wa huduma bora ambazo zipo Libya alafu S.A hazipo

Amesaidia kujenga misikiti over, baba Mandela ni kiongozi bora kuwahi kutokea duniani hata wazungu wanakuba
Mkuu mimi sina tatizo kabisa na Gadafi, tatizo langu ni kumlinganisha na Baba wa dunia mzee Madiba.
Mandela kafanya nini kwa waafrika?
 
..madai yangu ni kwamba Gadaffi aliuawa askari wetu wakati wa vita vya Kagera.

..na kwamba Mtanzania anayemuenzi Gadaffi hana uchungu na maisha ya wenzetu waliopoteza maisha wakipigana na majeshi ya Amin na Gaddafi.

Hiyo ni geopolitics Mkuu, kwani wewe una uchungu na Tanzania kuliko mwalimu Nyerere?, Mbona baadae Mwalimu na Ghadqfi walikuja kuwa marafiki na hata Hela za kujenga msikiti kule Butiama Mwalimu alipewa na huyohuyo Ghadafi?
 
Ukitioa harakat za kupigania uhuru na miaka 27 jela alipotoka na kuingia madarakani kapiga kazi gani kubwa?

Embu tuchambua kazi alizopiga gaddaf halaf ndo tuone nai jembe!
Kuna watu wamepiga kazi hili bara sema tuu hawajulikani. Kw akipindi kile nani alikua akitoa msaada wa wapigania uhuru kama nyerere? unazan mataifa ya ulaya yalikua yakifurahia harakat za nyerere?
Msumbiji, angola, namibia, south africa n.k zote zimepatiwa msaada wa kijeshi, kifedha nk kwa namna yeoyte ile kuhakikisha wanapata uhuru. Kambi kibao zilikwepo bongo we unazad wazungu hawakuliona hili? Ungekuta nyerere hajapinduliwa au kuuliwa kitambo kama akina sankara, patrice lumumba, samora macheli n.k?

Mkuu kuna watu wamepiga kazi yan sio mchezo sema tuu hawatendew haki.

Gaddaf alikua mwiko kuondoa ushenzi wa western neo-colonialism. Marais kibao wa wamarekan walikua wakimtaman sana gaddaf kama ronald regan, bush n.k bado ufaransa lakin aliondoa ushenzi wote wa hawa wezi Libya ikamiliki resource zote na ikakua sana kiuchumi.

R.I.P wandugu.
Sawa Kabisa Mkuu ila soma vyema post yangu utanielewa, nawakubali sana akina Gadaffi na Nyerere
 
Hata USA hizo hadithi zako hazipo mkuu
Kama ulidhani USA ndio nchi yenye huduma bora na maisha bora kwa watu wake pole sana.

Sasa nimejua kuwa najaribu kumuelewesha mtoto wa elimu ya Shule za kata aliyefaulu kwa bahati mbaya. Kwa mtu mwelevu hawezi kuitaja USA kwenye nchi zenye huduma bora kwa watu wake au nchi yenye maisha bora kwa watu wake.

Libya ya Gaddafi mfano wake kidogo labda uilinganishe na Scandinavian countries like Sweden tena kwa mbali.

Rudi shule mkuu.
 
Hiyo ni geopolitics Mkuu, kwani wewe una uchungu na Tanzania kuliko mwalimu Nyerere?, Mbona baadae walikuja wakawa marafiki na hata Hela za kujenga msikiti kule Butiama Mwalimu alipewa na huyohuyo Ghadafi?

..ningemshangaa kama Mwalimu angeanza kumtukuza Gadaffi kama mnavyofanya nyinyi.
 
Back
Top Bottom