Pombe gani hazikupi hangover at the same time zinakupa appetite ya kula?

Pombe safi na salama ni Mnazi na Ulanzi tu.
Shida mnaongelea pombe za misimu....ingawa kiafya ni salama kweli..,nipo shamba maji ya kunywa hamna..nawapa wanakijiji 5,000 walete ulanzi unakuja lita 20...afu mtamu kabisa..kiuu niliaribu kaz shamba la ekar mbili naliona kama ekar 10...mbaya zaid tukavamiwa na chuki zinanipiga naanguka tuu...mbio siwez..niliuchukia mpaka leo
 
Mkuu mnazi bado kuisha kwa damu
 
brewmeister-snake-venom.jpg

It comes with a serious warning not to drink more than 35 mL in one sitting.
 
Sinywi uchafu mimi.
Pombe ni uchafu flan hiv uliovikwa pambo la ustaarabu. Ila ni ujinga kama ujinga mwingine wowote ule
So mkuu wewe binafsi ukiondoa kuchakata mbususu/ papuchi ukitaka kufanya relaxation na recreational activities huwa unafanya nini your can share kwa faida ya wengi..
 
Back
Top Bottom