Pombe yaua Mhudumu wa Baa aliyekunywa bila kula

R.i.p kwake pole kwa familia haya ni moja ya matukio ya kushtukiza ila naomba tukiwa kama marafiki tukiwa tunakunywa mara nyingine tushauriane kuhusu kula na hata kupata maji ya kutosha, simlaumu yeye lakini pia waliokua nae karibu(kampan) wakati wa kunywa hawajamtendea haki. Mara nyingine watu wanakunywa kutokana na stress kali za maisha hivyo tunavyoonana ama tukiwa tunakunywa tushauriane pia.
 
Hii issue ya 50/50 wanawake wa Kitanzania wanaitendea haki vizuri sana.

Vifo vya kunywa pombe hadi kifo tumekuwa tukiwasikia wanaume ndo wanaokumbwa na hiyo mikasa ila dada zetu wame-advance sasa ni haki sawa "kunywa pombe ufe ninywe pombe nife".
 
Usikute hapo kuna mwamba alikuwa anamtoa offer ili baadae akampige mlingoti ....
 
Hapana pombe hufyoza sukari iliyopo mwilini ndomana tukashauriwa kunywa na ule ,nihatari kama sukari ilishuka lazima upoteze
Hapa unamaanisha ukiwa na sukari nyingi mwilini pombe inaweza kuipunguza au sio mtaalamu.
 
Iv mtu unakunywa pombe hauli chakula unapata raha gan sasa? Siwezi kunywa bia zaid ya tano bila kutupia nyama choma katikati ,then nalisongesha nne tena napata supu ya kongoro nashushia na maji makubwa , kuna kautamu fulani ka bia unapoisindikiza na nyama choma ,ndiz na kachumbari na pilipil kiasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…